Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Nilishaandika Uzi huu sikuizi millitary movies za kipuuzi sana kuna hii 12 hours wanaisifia bure,kuna ile nyingine jamaa anakimbia na kipenzi yaani upuuzi mtupu..Warhouse takataka zamani muvi za kivita zilikua muvi bana Lone survivor,Furry,Na hiyo saving private ryan watu wanadedi mpaka unadata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom