Ikitokea siku unamtumia ujumbe mtu"X" na akakujibu kwa matusi ya nguoni siku moja unakutana nae njiani akiwa na tatizo flani ambalo ni serious itention unaanza anzaje kumuangalia usoni msaada jamani
Siku zote katika maisha,kujitweza ni vibaya,maisha ya kawaida kwa kuheshimu watu wote ndio mazuri,hautakuja kujuta.
HAPO ITAKUWA NGUMU KUKUOMBA MSAADA WAKATI BADO UNAKUMBUKUMBU ZA MATUSI NA ALISHAKUDHARAU.labda ichukue mda muzoeane tena.
HATA YEYE HATAKUOMBA MSAADA,wewe kumsaidia ni ngumu,japo inategemea na tatizo yapo matatizo makubwa mtu likimkuta na kunitajika uharaka UTAMSAIDIA tu mana mioyo yetu ina huruma,mfano unakuta kapata ajali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.