hakuna mkali wa mistari na style kama Fid Q bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hakuna mkali wa mistari na style kama Fid Q bongo

Discussion in 'Entertainment' started by Singo, Jun 22, 2012.

 1. S

  Singo JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  nimekua nikisikiliza maneno anayotumia katika rap yake huyu jamaa na sijaona wa kumfananisha. sikiliza mwanza mwanza, vina mwanzo kati na mwisho, propaganda, professional na ielewe mitaa na utaamini haya. Kama jamaa angeenda shule angekua profesa wa falsafa mwenye mawzo tofauti nami karibu ,hata kama una cha kuaongeza
   
 2. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  Jamaa kichwa nakubali ila stamina anakuja kwa kasi msikilize kwenye kabwela
   
Loading...