Mbunge akiteuliwa na Rais au kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi, hapo hapo anakuwa Mbunge. Hakuna Mbunge Mteule (Ila kuna Rais Mteule). Wale wabishaji, ukibisha basi nionyeshe huo msamiati kwenye katiba au sheria ya uchaguzi uko wapi (ukweli ni kwamba haupo).
baadaye nitaleta nukuu kutoka katika kitabu cha Pius Msekwa kutegemea na kiwango cha ubishi.
Hivyo kama Katiba kuvunjwa imeshavunjwa, kwani hata Bulembo au Paramagamba asipoapishwa tayari ni Mbunge.
baadaye nitaleta nukuu kutoka katika kitabu cha Pius Msekwa kutegemea na kiwango cha ubishi.
Hivyo kama Katiba kuvunjwa imeshavunjwa, kwani hata Bulembo au Paramagamba asipoapishwa tayari ni Mbunge.