Hakuna mbadala wa CCM kwa miaka 100 ijayo

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
8,686
Reaction score
12,016
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya CCM

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

CCM chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama
 
Ccm ni chama cha kizalendo, sioni umuhimu wa vyama vingine vimejaa uzandiki na unafiki
Ccm imepora mamlaka ya umma ya kujiamulia nani awatawale.kilio hiki cha watanzania hakitaisha kamwe.
 
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya Ccm

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

Ccm chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama
Mabeberu si ndo hao hao wanaosaini miradi ya matrilioni na serikali ya ccm au.. na juzi juzi mnalilia oohh Zitto anatuharibia madili kwa mabeberu kustopisha matrilion kwa ajili ya elimu,mapanya wa ccm cjui mnafikiria kwa kutumia viuno
 
Wewe Ndio hujui kitu

Kwani kuna serkali duniani isiyokopa?

Nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Mabeberu c ndo haohao wanao saini miradi ya matrilioni na serikali ya ccm au.. na juzi juzi mnalilia oohh Zitto anatuharibia madili kwa mabeberu kustopisha matrilion kwa ajili ya elimu
 
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya Ccm

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

Ccm chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama
Hata mkoloni alijisemea hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pindi linapoadimika jema basi baya huwa jema.
 
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya CCM

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

CCM chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama
Hakika 😣😄
 
Nenda rufiji ukaone umeme mpya unavyojengwa
Magufuli ataandika historia kwa kuipaisha Tanzania kiuchumi

Wapinzani mmeishiwa hoja kabisa Mnaudhi sana kwa kweli
CCM ndio chanzo cha Rushwa Mauwaji udumavu wa Maendeleo n.k
 
Nenda rufiji ukaone umeme mpya unavyojengwa
Magufuli ataandika historia kwa kuipaisha Tanzania kiuchumi

Wapinzani mmeishiwa hoja kabisa Mnaudhi sana kwa kweli
Bado ni pori tu limejaa mbega.
 
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya CCM

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

CCM chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama
Wakoloni wa Kireno katika miaka ya 1970s walisema kwamba Msumbiji haitapata uhuru katika miaka 500 ijayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom