Hakuna mbadala wa CCM kwa miaka 100 ijayo

Kibaraka wa makaburu weusi jioni wahi upokee elf7 zako ukichelewa ukamkuta polepole kaondoka unalala njaa pimbi wewe!
 
Mungu ndiye mwamuzi. Dunia inabadilika haraka sana. Itategemea kizazi kijacho kama kitaona ni vema kuendelea na ccm au la. Wengi wetu labda tutakuwa hatupo.
 
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya CCM

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

CCM chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama
Kwani kesi ya kangi inahusu nini? si ndo yale yale ya vyama tumbo? nyani haoni kundule, Meli ya Dar to Bagamoyo iko inasafirisha raia kama kawaida, makampuni ya meremeta, zile pesa za escro, miradi ya gesi ya mtwara iko wapi? miradi ya mchuchuma na riganga iko wapi? miradi ya magari ya mwendokasi iko wapi?. Mabasi ya wanafuzi wa Dar yako wapi?? nyie mmerogwa sio bure. mpaka ujitoe ufahamu ili kusifia ujinga.
 
Nenda rufiji ukaone umeme mpya unavyojengwa
Magufuli ataandika historia kwa kuipaisha Tanzania kiuchumi

Wapinzani mmeishiwa hoja kabisa Mnaudhi sana kwa kweli
Labda ataandika historia nchi kuifanya kama zimbabwe kuwa na uchumi mfu.
 
Ni mtazamo wako tu comrade

Lakini nakuhakikishia Tanzania ni salama zaidi ya mara miamoja chini ya Ccm

Hiyo Amani uliyonayo kuna watu walijitolea maisha kuisimamisha Nchi yetu
Utawala wa CCM ni ukoloni mamboleo wa Mtanzania kumtawala Mtanzania mwenzake tu.

Usipumbazwe na rangi ya walio katika utawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaio mtanzania kumtawala mtanzania ni ukolon so uhuru ni mtanzania kutawaliwa na mtu asie mtanzania et bro si ndio unavyomaanisha ila kaa ukijua ccm ni bora kuliko chadema katika uongozi umeona halima mdee alivyo mnyina mkono mashinj kisa tu kahamia ccm huon ilo ni tatizo pia ni dalili mbaya kama kiongozi atakua yupo ivyo ni dalili ya udikteta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stiglers ni maneno ya jukwaani tu 😂😂😂
 
Wapi nimeandika Mtanzania kumtawala Mtanzania ni ukoloni?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unajua tofauti ya "Kwaio" na "kwa hiyo"?

Wapi nimetaja CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi MTU yeyote anayeisifi ccm kupora mamlaka ya umma kuchagua viongozi wao simwelewi kamwe....
 
Bila TISS Na police? Ccm weupe tu? Unamkataza mnyika asifanye mikutano.wakati huohuo bashiru anafanya? Uoga huo. Weka bampa to bampa uone kama unatoboa.wewe unategemea polisi tu hakuna lolote hapo. Namalizia kuandika andiko langu nikuoneshe mlivyoiba kura mwanza 2015. Nitaweka hapa.
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya CCM

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

CCM chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliyeibiwa kura comrade

Back
Top Bottom