Hakuna mashabiki wanafiki kama Simba FC

So Ahmed Ali ndio msememaji wa Mzize?
 
Umekielewa ulichokicharaza au ndiyo Bado hawajakugawia akili hata kidogo?
 
Edwin Balua ana impact gani kwenye kikosi cha 5imba? kiasi kwamba uondokaji wake uwe na ugumu
Sio impact, ni suala la maslahi. Mtu analipwa milioni 2 Yanga, halafu inatokea timu inayotaka kumlipa 75M, unambania! Si uchawi huo? Hapo unahitaji hadi mtu akuseme umuite mnafiki, dhamira haikusuti?
 
So Ahmed Ali ndio msememaji wa Mzize?
Ahmed Ally alizungumza kama mdau wa soka aliyeona klabu inamwekea mchezaji vizingiti visivyo vya kiufundi, licha ya mchezaji mwenyewe kuridhia ofa nono kutoka Esperense.
 
Simba imemsajili Selemani Mwalimu sio Salimu

Pia ndoto ya mchezaji yoyote yule ni kucheza Vilabu vikubwa au vyenye malisho bora iwe África au nje ya Africa

Mzize anatakiwa aachane na Vilabu vidogo vidogo atafute malisho mapya kwenye timu kubwa zilizo hata top10 ya Vilabu bora África

Selemani Mwalimu amekwenda Simba kwakuwa hii timu ipo top 5 ktk Vilabu bora vya África,
Akifanya vizuri hapa itamuwia rahisi kuuzika ktk Vilabu vikubwa zaidi ya Simba
 
Unafiki siyo poa hata kidogo. Bora umewapiga nyundo kwenye visogo vyao.
 
Haya ndio mafanikio ya timu kubwa
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    9.1 KB · Views: 21
Ahmed Ally alizungumza kama mdau wa soka aliyeona klabu inamwekea mchezaji vizingiti visivyo vya kiufundi, licha ya mchezaji mwenyewe kuridhia ofa nono kutoka Esperense.
Hapo umbumbumbuni hamchezi football si muuze nyie au mna magarasa
 
Hapo umbumbumbuni hamchezi football si muuze nyie au mna magarasa
“Wakati huo tukiwa tunashiriki katika jitihada ya kuzipata bilioni kumi, klabu ya Yanga nayo ikajipenyeza hapo hapo, na yenyewe itatoa kiasi cha shilingi milioni mia moja.” — Eng. Hersi Said



Sasa ndugu yangu, kama klabu yako inajipenyeza kwenye harakati za CCM kama halafu unakuja kutuita sisi “magarasa,” si bora ujitathmini kwanza?

Hivi kweli mtu anayechangia CCM kupitia klabu ya mpira, halafu anasema “tulijipenyeza,” si huyo ndiye garasa la kitaasisi?
 
Huo mchango ndio ulisababishwa mfungwe mara tano mfurulizo?
 
Huo mchango ndio ulisababishwa mfungwe mara tano mfurulizo?
Unachangia CCM kupitia klabu ya mpira, halafu unashangaa timu kufungwa?

Tafadhali hakikisha akili yako haijajipenyeza kwenye harakati za “tulijipenyeza.” Maana ukijipenyeza bila akili, unakuwa si mchambuzi unakuwa kipaza sauti cha upuuzi.
 
Acha ujinga wewe, taarifa za Mzize alizitoa wakala wake.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…