ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,295
- 31,694
walitakiwa wawe wangapi?Utopolo wenye akili ni wawili tu
Mafala yanawafunga kila sikuNa hakun amashabiki mafala kama Nyani FC, Malalamiko Fc, Milioni 100 za Jiesiemu Fc, Nyuma mwiko Fc
Kwanini msimpiganie KibuKuna utofauti wa kimuktadha kati yya Mzize na Seleman Mwalimu.
Mzize ilikuwa ni sakata la ndoto binafsi dhidi ya vizingiti vya kiuongozi. Mzize alitamani kujiendeleza kimataifa, akilenga klabu yenye ushindani mkubwa kama Esperense de Tunis.
Mashabiki tulimtetea kwa misingi ya haki. Tuliona Club yake ya Yanga ikiuzuia uhamisho kwasababu zisizo za kiufundi, ikikataa ofa bora na kuhimiza aende Club dhaifu kwa maslahi ya udalali.
Selemani Mwalimu ni usajili usiokuwa na kipengele wala migogoro
Hakuna sakata la mgongano wa kimaslahi, Wydad haikugomea uhamisho wake na wala hakuna dalili ya udalali au mgongano wa kimaslahi.
Kuna utofauti wa kimuktadha kati yya Mzize na Seleman Mwalimu.
Mzize ilikuwa ni sakata la ndoto binafsi dhidi ya vizingiti vya kiuongozi. Mzize alitamani kujiendeleza kimataifa, akilenga klabu yenye ushindani
Acha ujingaNaskia Eng. Hersi anapatikana JF kama Lucas Mwashambwa
Kuhoji “kwanini msimpiganie Kibu” ni sawa na kuuliza “kwanini hamuombi mvua wakati hakuna ukame.”Kwanini msimpiganie Kibu
Mzize anaongea kupitia mwakilishi wake ambaye ni MenejaWewe ndio mzize? Au hayo maneno kayasema wapi Mzize?
Haaaaaaaah mr JeisiemuAcha ujinga
Sio kila anayetofautiana na Yanga ni Simba. Sakata la Mzize ni kati ya uongozi wa Yanga na meneja/msimamizi wa mchezaji. Sema ulitafsiri hivyo kuwa ni Simba wanampigania Mzize. Mchezaji ajipiganie mwenyewe.Hivi karibuni mashabiki wa ile timu ya Manzoki na Mzee Rage walikua wanapigania haki ya Mzize aende nje akajitafutie maisha kwamba timu yake ina roho mbaya ajabu ni kwamba timu yao imemsajiri Salim Mwalimu kutoka Wydad aje huku alipo Mzize, hii ina maana Mwalimu hana future au mapenzi yao kwa Mzize ni mkubwa sana?
Yeye ni bubu? Kipi kinachoaminisha kuwa huyo mwakilishi yote anayoongea ndiyo aliyoambiwa na Mzize ayaongee?Mzize anaongea kupitia mwakilishi wake ambaye ni Meneja
Edwin Balua ana impact gani kwenye kikosi cha 5imba? kiasi kwamba uondokaji wake uwe na ugumuSio kila anayetofautiana na Yanga ni Simba. Sakata la Mzize ni kati ya uongozi wa Yanga na meneja/msimamizi wa mchezaji. Sema ulitafsiri hivyo kuwa ni Simba wanampigania Mzize. Mchezaji ajipiganie mwenyewe.
Simba imeshamuuza Edwin Balua huko Cyprus, ilimuachia Kibu akajipambanie Marekani ashindwe mwenyewe. Kuhusu Selemani Mwalimu, ni wapi uliposoma kwamba Simba imemzuia kubaki Wydad?
Ally Kamwe ambaye ni msemaji wa klabu, ina maana anapotoa taarifa kuhusu taasisi au mchezaji, mchezaji au aliyewakilishwa anakuwa bubu?Yeye ni bubu? Kipi kinachoaminisha kuwa huyo mwakilishi yote anayoongea ndiyo aliyoambiwa na Mzize ayaongee?