ccm ipi?
Kumekuwa na baadhi ya kelele kutoka kwa baadhi ya watu kuhusu utendaji wa Raisi Magufuli kana kwamba hawakuyategemea haya!
Ile ya kufanya usafi na kulundika takataka katikati ya makazi ya watu hadi leo
Ile ya kufanya usafi na kulundika takataka katikati ya makazi ya watu hadi leo
Kwa kuongeza tu. Hakuna anachokifanya ambacho hakipo kwenye ilani ya CCM.
Million 50 kwa kila kijiji au kata mbona hatuzioni?
Nimekudharau kwa kusema Magufuli alimshinda Lowassa kwa kura milioni ishirini, ungekuwa umeendika tu kwa tarakimu ningejua umekosea kwa bahati mbaya, lakini ulichosema kwa maneno ndio hichohicho ulichoandika kwa namba! Idadi ya waliopiga kura nchi nzima wenyewe hawakufika milioni 20. Hata kama ni kulazimisha kile anachokifanya Magufuli ni lazima upotoshe na huo utetezi wako finyu.
Kila mtu anapenda sheria zifuatwe lakini inakuwaje sheria zinaangalia, nilitarajia wakwepa kodi waliogundulika wangechukuliwa adhabu kali, lakini inaonekana wameambiwa warudishe basi yakaishia hapohapo. Kwanza mchezo ulikuwa huuhuu tukambiwa kodi iliyokwepwa ni ya 80b lakini siku zilivyokwenda ikashuka mpaka 12.5b! Ni lazima mpate sifa kwa kutumia uongo?
Wewe unayeongezea ndio unaharibu kabisa,Magufuli alipoona ilani take haiuziki akaikacha na kucheza ngoma kwa namna yake na kubeba content za ilani za upinzani!Yale yote ambayo awamu ya 4 iliyaona ni desturi yeye kapiga chini!
Safari za nje mlizomshibokea jk kuwa zina tija yeye kasema no,ukubwa wa baraza la mawaziri kuongeza ufanisi(hadi waziri asiyekuwa na wizara) magu kasema NO,vikao na posho za kipuuzi no,kabeba mpaka hoja ya mabadiliko,kaedit na kusema mabadiliko ya kweli!
Kwenye ilani ya ccm kuna kipengele cha kuwabana wafanyabiashara wafadhili wa CCM? Kama ni hivyo mbona ilikuwa haifanyiki mpaka mnawaruhusu wanapitisha mizigo bila kulipa kodi?
Kulundika taka na kusamehe wahujumu uchumi kwa kuwapa 7 days ultimatum
Hivi uliwahi kumkosoa kikwete hata siku moja??
Kulundika taka na kusamehe wahujumu uchumi kwa kuwapa 7 days ultimatum
Amemteua Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu. Usiyempenda kaja ...Kwa kuongeza tu. Hakuna anachokifanya ambacho hakipo kwenye ilani ya CCM.
Kwani hakujua kuwa hizo zipo nje ya bajeti?Jamani. Ahadi za mheshimiwa zipimwe at least baada ya mwaka mmoja. Hata budget inayotumika hakuiweka yeye.tuwe wavumilivu.