YatajeThat's impressive but yapo mengi tu hayawezekani usiwape watu matumaini hewa
Maneno yako sawia kabisa ShadeeyaYah! Ndio maana huwa wanasema"KILA PENYE UZITO NA WEPESI UPO"
Abusolwuti turuu mkuuHupewi kilema bila kupewa mwendo
Mungu mkubwa
Tunaposema Mungu ni Muweza wa yote, watu wanabisha, bila Shaka sasa wanaona Ukuu wake.Kweli MUNGU acha aitwe MUNGU.......hizi Picha zimefikirisha sana mkuu
Kweli MkuuTunaposema Mungu ni Muweza wa yote, watu wanabisha, bila Shaka sasa wanaona Ukuu wake.
Duu nimeshindwa ku upload picha niliyokusudia sorryAngalia huyu binti anaendesha gari kwa kutumia miguuView attachment 1082175