Hakuna kurejewa uchaguzi Zanzibar!

Hakuna kurejewa uchaguzi Zanzibar!

fedha haitozuiliwa kwa sababu ya jecha bali ukweli itazuiliwa kwa sababu ya maalim naye ni janga, nakeambia sehemu inayomfaa jinamizi huyo ni s egerea.

the heague inamfaa dr shein kwa uhaini wake
 
the heague inamfaa dr shein kwa uhaini wake

Utapata shida kumfikisha She in the Hague. Lakini kumpeleka Maalim Segerea ni kufumba na kufumbua. hivi wewe huoni kwanini Luna vikao hivyo bavyo pia vina wahusiasha mzeeAli Hassan Mwinyi. kamandoo MTU wa muwafaka 1, na pia Amani Karume muasisi wa SUK. Maalim ni janga na anastahili SEGEREA.
 
Miaka yote ndio hivi mwishowe wanaachia.tatizo la kutumiwa na wana wa sultani,bora waje wapambane wenyewe uraia wao upo kisheria badala ya kutumia vijitu kama Jussa
 
Fedha haitozuiliwa kwa sababu ya Jecha Bali ukweli itazuiliwa kwa sababu ya Maalim naye ni janga, nakeambia sehemu inayomfaa jinamizi huyo ni S EGEREA.

Hilo jina Lako pakacha, haifai hata kubishana na wewe
Pakacha huwezi kuchukulia maji. Maalim Seif haogopi jela ameshakaa muda mrefu, haikuwa mandela mwisho wa siku alitoka na akawa Raisi.
 
Wazanzibar mtuache sie tuko levo nyingine,kuongelea uchaguzi ni kuturudisha nyuma sie.
Myamalize wenyewe huko.
 
Fedha haitozuiliwa kwa sababu ya Jecha Bali ukweli itazuiliwa kwa sababu ya Maalim naye ni janga, nakeambia sehemu inayomfaa jinamizi huyo ni S EGEREA.

We mpuuzi kweli yaani uchaguzi ccm ilishindwa halafu ikaufuta makusudi unakuja hapa na matusi, jinamizi ni mkeo, wewe ndo utaenda segerea na wanao juha mkubwa wewe.
 
Wizi wa kura uliasisiwa kwa mara ya kwanza na muasisi,ni vigumu kusema hilo.
 
ALIITWA MHESHIMIWA AL.SAHAF, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI YA IRAQ ENZI ZA SAADAM HUSSEIN, DUH SITAMSAHAU YULE MTU KWA PROPAGANDA NA SIJUI KWA SASA KM BADO YUKO HAI Ktk NCHI YA IRAQ ILOTIWA KIBERITI

Anaishi Dubai,
 
Mpka kieleweke tumechoka kuendelea kuwa wapumbavu na malofa, mungu yu nawe Maalif
 
naona unaendelea kuandika pumba tu humu. kwani wewe ni miongoni mwa wale wanaojiuza kule ufukweni? utakuwa sio riziki wewe.

Maalim hana cha kukomaa. hivi sasa anatapia nafasi, na kama ustaarabu utawekwa kando ni MTU wakuburuzwa
mahkamani. yaani we we unafikiri hivi vikao ni vya nini? kumbuka tuna SUK Maalim ni janga!!!????
 
Miaka yote ndio hivi mwishowe wanaachia.tatizo la kutumiwa na wana wa sultani,bora waje wapambane wenyewe uraia wao upo kisheria badala ya kutumia vijitu kama Jussa

Umekaukiewa hoja?
 
Al Sahaf was really a comedian/msanii na ndiyo maana aliajiriwa na Al-jazeera moja kwa moja!

Zanziba hatuna vita kama vya George Bush na Saadam Hussein. Kilichotokea Zanzibar ni ubakaji wa Demokrasia kupitia Sanduku la Kura kwa Mahifidhina wa CCM kutokubali matokeo baada ya kuona wameshindwa.

Tunataka kumwambia Balozi Seif Ali Idd aache usanii wa kuidanganya dunia kama alokuwa akifanya Al-Sahaf wa Iraq.Marekani wameshatoa tamko tayari la kutaka kumalizwa kwa mgogoro Z'bar kwa maana ya kumalizia kutangaza matokeo yaliyokuwa yamebakia kabla ya kufutwa ili kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2015 kwa kumtangaza Maalim Seif ambaye ndiyo mshindi.

Uchaguzi ule ulikuwa HURU na HAKI na ulishuhudiwa na watu wote wakiwemo Waangalizi wa Kimataifa wakiwemo Wamerekani ambao ndiyo Wafadhili wakubwa wa nchi yetu. Nje ya hapo Tanzania ijiandae kukosa Tshs. Trilioni 1 za MCC(Millenium Challenge Cooperation).

Tunajua Rais Magufuli kwa sasa anahangaika kukaba mpaka penalti ili apate fueza ya kutimiza ahadi zake kwa Watanzania. Kwanza tutamshanga na kumpunguzia maksi kama kweli yuko tayari kuona hiyo fedha ikizuiliwa na Marekani kwa sababu za mtu mmoja mjinga anayeitwa Jecha Jecha wa CCM.
Well said Mkuu.
 
Back
Top Bottom