Hii ipelekwe vyuo vikuu pia. Du wamewaonea hawa watoto!
Hii bab kubwa,inatufaa sana hapa Bongo maana watu kwa kupiga chabo wakati wa mitihani ni noma.
Mbona ikienda UDSM na IFM wataandamana
Waipeleke UDSM na vyuo vingine...tutapatagraduates wa kweli....!