Hakuna kuoa kwa hali hii

Hakuna kuoa kwa hali hii

niester

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
254
Reaction score
111
Hey guys? Wale wenzangu na mimi na mwenye mtazamo kama wangu nadhani mtakuwa na imani na matumaini kwamba, asilimia kubwa ya wanaume kwa wanawake ambao waliwekeza mioyo yao kwa wapenzi wao pamoja na matumaini makubwa kuwa siku moja wataishi pamoja kama mume na mke lakini haikutokea hivyo, watakubaliana na mimi kwamba wamevunjika moyo sana.

Katka mahusiano yangu ya nyuma especially yaliyovunjika mwaka 2011 December 12 saa 12 mchana baada ya kugundua na kuthibitisha kbs kwa 100% mchumba wangu kutokuwa mwaminifu na kuamua kumpiga chini, iliniuma sana na kunichanganya sna kwa kuwa niliwekeza sna kwake.kila binadam ana falsafa yake ya kuhandle manmbo mbali mbali na hata hawa viumbe, mimi yangu ni dem akicheat hata kama nampenda vipi namwacha coz hakuna umuhim wa kuendelea na mahusiano na mtu unayejua amekusaliti kwa sababu za kipuuzi. Kwa sasa nimepata ofa ya madem 3 wa kuzaa nao.

Kwa hali hii naona hakuna maana ya kuoa kwani napata kila kitu na nina dem mmoja pia anasema ananipenda na neshamwambia kwamba mimi sina mpango wa kuoa zaidi ya kuzaa tuu na wanawake. Don't judge ma philosophy kwa wanawake.

Hata yule tuliyeachana nae pamoja na kwamba kaolewa lkn anataka pia mtoto kutoka kwangu ona sasa hawa viumbe walivyo wa ajabu, na nilishamwambia siwezi kuzaa nae coz Keshaolewa but ananilazimisha sna kuonana nae. Now I do believe ule msemo kwamba hawa watu ni "kuishi nao kwa akili"(wanawake)

So,wale vijana wenzangu especially wanaume waliotendwa na kuumia zaidi kwa wapenzi wao njooni kwenye kundi la kuzaa tuu na madem na kutunza watoto kwani wanawake wapo wengi mno hata tukioa 5 @1 bado watabaki.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.
 
Hey guys? Wale wenzangu na mimi na mwenye mtazamo kama wangu nadhani mtakuwa na imani na matumaini kwamba, asilimia kubwa ya wanaume kwa wanawake ambao waliwekeza mioyo yao kwa wapenzi wao pamoja na matumaini makubwa kuwa siku moja wataishi pamoja kama mume na mke lakini haikutokea hivyo, watakubaliana na mimi kwamba wamevunjika moyo sana.
Katka mahusiano yangu ya nyuma especially yaliyovunjika mwaka 2011 December 12 saa 12 mchana baada ya kugundua na kuthibitisha kbs kwa 100% mchumba wangu kutokuwa mwaminifu na kuamua kumpiga chini, iliniuma sana na kunichanganya sna kwa kuwa niliwekeza sna kwake.kila binadam ana falsafa yake ya kuhandle manmbo mbali mbali na hata hawa viumbe, mimi yangu ni dem akicheat hata kama nampenda vipi namwacha coz hakuna umuhim wa kuendelea na mahusiano na mtu unayejua amekusaliti kwa sababu za kipuuzi. Kwa sasa nimepata ofa ya madem 3 wa kuzaa nao. Kwa hali hii naona hakuna maana ya kuoa kwani napata kila kitu na nina dem mmoja pia anasema ananipenda na neshamwambia kwamba mimi sina mpango wa kuoa zaidi ya kuzaa tuu na wanawake. Don't judge ma philosophy kwa wanawake. Hata yule tuliyeachana nae pamoja na kwamba kaolewa lkn anataka pia mtoto kutoka kwangu ona sasa hawa viumbe walivyo wa ajabu, na nilishamwambia siwezi kuzaa nae coz Keshaolewa but ananilazimisha sna kuonana nae. Now I do believe ule msemo kwamba hawa watu ni "kuishi nao kwa akili"(wanawake)
So,wale vijana wenzangu especially wanaume waliotendwa na kuumia zaidi kwa wapenzi wao njooni kwenye kundi la kuzaa tuu na madem na kutunza watoto kwani wanawake wapo wengi mno hata tukioa 5 @1 bado watabaki.

naungana na wewe 100%
binafsi nshaumizwa sana na sina tena mpango wa kumwamini mwanamke!
"nasema wazalishwe tu maana hakuna namna nyingine!"
 
Na mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.

mi nilidhani adhabu yao ni kuzaa nao tu ili uwakomoe
 
Tuwazalishe tu,hakuna namna,
kama ulishawahi kutendwa na wanawake lazima uunge mkono hii falsafa,kama hujawahi huwezi unga mkono.
Wanawake ni washenzi,tena zaidi ya washenzi,ukiwaamini tu,imekila kwako,
safi sana,mimi hata ndugu zangu wa kike siwaamini.
 
Uzi mwingine ni Wa kishetani Pelekeni stress mbele au kajinyongeni mnakuja kuharibu jujwaa la Jf kwa ninii mwanamke ukikosea kumtunza na kumwelewa lazima hayo yatokee.mjue kutunza siio suruali tupu!!!
 
Hey guys? Wale wenzangu na mimi na mwenye mtazamo kama wangu nadhani mtakuwa na imani na matumaini kwamba, asilimia kubwa ya wanaume kwa wanawake ambao waliwekeza mioyo yao kwa wapenzi wao pamoja na matumaini makubwa kuwa siku moja wataishi pamoja kama mume na mke lakini haikutokea hivyo, watakubaliana na mimi kwamba wamevunjika moyo sana.
Katka mahusiano yangu ya nyuma especially yaliyovunjika mwaka 2011 December 12 saa 12 mchana baada ya kugundua na kuthibitisha kbs kwa 100% mchumba wangu kutokuwa mwaminifu na kuamua kumpiga chini, iliniuma sana na kunichanganya sna kwa kuwa niliwekeza sna kwake.kila binadam ana falsafa yake ya kuhandle manmbo mbali mbali na hata hawa viumbe, mimi yangu ni dem akicheat hata kama nampenda vipi namwacha coz hakuna umuhim wa kuendelea na mahusiano na mtu unayejua amekusaliti kwa sababu za kipuuzi. Kwa sasa nimepata ofa ya madem 3 wa kuzaa nao. Kwa hali hii naona hakuna maana ya kuoa kwani napata kila kitu na nina dem mmoja pia anasema ananipenda na neshamwambia kwamba mimi sina mpango wa kuoa zaidi ya kuzaa tuu na wanawake. Don't judge ma philosophy kwa wanawake. Hata yule tuliyeachana nae pamoja na kwamba kaolewa lkn anataka pia mtoto kutoka kwangu ona sasa hawa viumbe walivyo wa ajabu, na nilishamwambia siwezi kuzaa nae coz Keshaolewa but ananilazimisha sna kuonana nae. Now I do believe ule msemo kwamba hawa watu ni "kuishi nao kwa akili"(wanawake)
So,wale vijana wenzangu especially wanaume waliotendwa na kuumia zaidi kwa wapenzi wao njooni kwenye kundi la kuzaa tuu na madem na kutunza watoto kwani wanawake wapo wengi mno hata tukioa 5 @1 bado watabaki.

Maamzi yako yanaweza kuwa na matokeo ambayo hutakaa usahau maisha yaliosalia Mkuu. Kuzaa na wanawake tofauti hao watoto watakosa malezi ya baba na mama ambayo ni kitu mhimu na ni msingi wa maisha. pili hizoprocess za kupata hao watoto ni hatari sana kwa afya yako mkuu. Ni vizri ungepata mtu/mwanamke mmoja mkaweka hio mipango pamoja Mkuu
 
Every decision has a cost implication.
Inategemea yy kaona upande upi una unafuu kwake.
 
Hawa watu KE balaa!Sina hamu nao kwa nilichofanyiwa na mmoja! Naishia sema asante Mungu kwa yote.
 
Sio wanawake wote ni wabaya wapo Wazuri pia,,Uangalie tu hao unaowapanga mwisho wa siku mkemia mkuu akahusika pia.
 
naunga 100% mm 1alipiga kibuti nikaumia sana hadi kufeli baadhi ya masomo chuoni lkn kwa sasa niko poa kuna mwingine kajileta lkn cna hamu na mwanamke tena soo napanga nizae nae mtoto tuu nichukue mtoto yeye atafte mwingine pia imenisababisha nimekuwa katili ktk mapenzi naona hata kuongea nao tena mara kwa mara ni kupoteza mda wako

kijana fanya kazi kwa bidii saidia jamii yako vzr bila kubagua pia jitoe kwa moyo wako wote katka jamii lkn please ucjitoe moyo wako kwa ajili ya mwanamke utakuwa umepotea
 
Hiii mada naiunga mkono asilimia mia,wanawake watu wabaya sana,i hate them alot...
 
Wizara ya afya na ustaw wa jamii inajitahid kupunguza idadi ya ongezeko la watoto wa mtaani na wew plan yako ni kuongeza? Tatzo umemuacha Mungu mrudie yeye ni mwenye huruma atarekebsha hyo akil yako mkuu
 
Back
Top Bottom