Kweli ni muhimu sasa tunavyo wote? Nipo Dodoma toka mwaka Jana nimeenda kuandikisha kitambulisho mpaka sasa sijapata, si ndo hao wameanza kupelekana mahakama ya mafisadi kuna vitambulisho kweli hii kiki!
Kwa nini wa tz tuko mazuzu hivi..!!Yupo sahihi, pale ni makao makuu ya nchi lazima kuwe na mbinu mbalimbali za kiusalama.
Mi kukipata kitambulisho ilichukua four years tena siku nafatilia ilinichukua siku nzimaKwe
Kweli ni muhimu sasa tunavyo wote? Nipo Dodoma toka mwaka Jana nimeenda kuandikisha kitambulisho mpaka sasa sijapata, si ndo hao wameanza kupelekana mahakama ya mafisadi kuna vitambulisho kweli hii kiki!
Wanajf alikuwa na nia ya kuwatania watani zake . Hakuwaanamainisha kile alichosema.Apo itafanya wana dodoma wote wakajiandikishe kupata kitambulisho,ata kama agizo lake anajua haitakua hivyo lakini approach anayotumia itasaidia kW kiasi kikubwa ata wale raia wenye kupuuzia kitambulisho vya taifa
Nakubaliana na wewe100% ndugu.Ndio wazungu wanatuita blacks ni shit , tazama mtu mweusi akipata nguvu na madaraka anavyonyanyasa wenzake ,sipati picha ile power aliyonayo america na Europe tungekuwa nayo majority blacks , dunia ingepata sana tabu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya si mambo mapya kwa wahenga kama mie!!Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 17(1)
17.-(1) Kila raia wa Jamhuri ya Muungano anayo haki ya
kwenda kokote katika Jamhuri ya Muungano na kuishi katika
sehemu yoyote, kutoka nje ya nchi na kuingia, na pia haki ya
kutoshurutishwa kuhama au kufukuzwa kutoka katika Jamhuri ya Muungano.
________________________________________________________
Tamko la Mkuu wa mkoa wa Dodoma kwa Watanzania wote wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni hivi:-
"Itakua ni marufuku kwa Mtanzania asie na Kitambulisho cha Utaifa, kinacho onyesha uraia wake na mahali anapotokea, kuingia mkoani Dodoma mara baada ya zoezi hilo la utoaji vitambulishi kukamilika nchi nzima" Dk Binilith Mahenge
________________________________________________________
Hapa ndipo CCM MPYA INATUPELEKA, Ikumbukwe pia Nchini North Korea kwa Dogo Kim, ni marufuku kwa Mwananchi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine bila kua na passport maalumu na barua ya viongozi ya kuidhinisha safari hiyo.
View attachment 844302