SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Ukifanya manunuzi mtandaoni na muuzaji akanya refund hiyokadi itapokea hela bila shida.Ila unatakiwa usitengeneze kadi nyingine kabla ya kukamilisha miamala yako inayoendelea.Nilishawahi kupokea refund kwa kadi iliyoexpire ila sikutengeneza nyingine mpaka baada ya kupata refund.Inasemekana kwamba kwa sasa M-Pesa MasterCard inapoExpire hakuna tena kuiendeleza kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, na hii ni baada ya kujaribu kuiendeleza Card yangu iliyoExpire baada ya mwezi wa tisa kuisha, na majibu yalikuwa hivi, "your card has been un-suspended successfully" lakini nilipojaribu kuweka hela majibu yaliyokuja ni kwamba "Your Card is expired"
Nikachukua hatua ya kuwasiliana na huduma kwa wateja nikaambiwa hivi,
"Pole sana kwa hilo. Tunapenda kukufahamisha kwamba kadi ikiisha muda wake hauwezi kuiendeleza bali unatakiwa ufungue kadi mpya na kama kadi ya zamani ilikua ina hela unatakiwa kuzihamisha zote. ^OM"
Kuna swali niliuliza lakini mtoa huduma bado hajasoma meseji.
Sasa naomba kuuliza;
Kama mtu alifanya manunuzi mtandaoni lakini mzigo haukufika na muuzaji akataka kumrudishia hela itakuwaje? Je utaipataje hela yako na wakati kadi ime expire?
Asante kwa ushauri, ila kuhusu kutotengeneza kadi nyingine itakuwa ngumu maana buyer protection waliweka siku tisini ambapo zilizobaki ni kama miezi miwili na kitu, hivyo naweza lala njaa mkuu. Ni afadhali nitengeneze nyingine ili niendelee kuitumia wakati huo kabla Covid-20 haijaingia.Ukifanya manunuzi mtandaoni na muuzaji akanya refund hiyokadi itapokea hela bila shida.Ila unatakiwa usitengeneze kadi nyingine kabla ya kukamilisha miamala yako inayoendelea.Nilishawahi kupokea refund kwa kadi iliyoexpire ila sikutengeneza nyingine mpaka baada ya kupata refund.
Niliwahi kufuatilia hiyo kitu kwa upande wa AliExpress tu, na kwa maelezo yao walisema card iliyotumika kufanya manunuzi ndiyo tu itakayopokea refund na wala si vyinginevyo.Ila mkuu si unajaza Expire date ya Card? Na ukitengeneza Card unapewa expire date. Ni jukumu la website unayonunua kujua Card yako ina expire lini ili malipo yawe refunded kwenye njia nyengine ya Kulipia.
Ikitokea kadi ime expire na una refund unawajulisha voda kadi yako ya zamani pesa ikirudishwa wanakuwekea kwenye account mpya. Pia wamefanya kadi iki expire hakuna ku renew kwa sababu za kiusalama kwani kusimamia kadi moja kwa moja ni gharama kubwa ndio maana wanakushauri usiweke pesa kama hufanyi manunuzi. Maana yake wanachozingatia ni usalama wa pesa yako wakati wa muamala na sio vinginevyo.Inasemekana kwamba kwa sasa M-Pesa MasterCard inapoExpire hakuna tena kuiendeleza kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, na hii ni baada ya kujaribu kuiendeleza Card yangu iliyoExpire baada ya mwezi wa tisa kuisha, na majibu yalikuwa hivi, "your card has been un-suspended successfully" lakini nilipojaribu kuweka hela majibu yaliyokuja ni kwamba "Your Card is expired"
Nikachukua hatua ya kuwasiliana na huduma kwa wateja nikaambiwa hivi,
"Pole sana kwa hilo. Tunapenda kukufahamisha kwamba kadi ikiisha muda wake hauwezi kuiendeleza bali unatakiwa ufungue kadi mpya na kama kadi ya zamani ilikua ina hela unatakiwa kuzihamisha zote. ^OM"
Kuna swali niliuliza lakini mtoa huduma bado hajasoma meseji.
Sasa naomba kuuliza;
Kama mtu alifanya manunuzi mtandaoni lakini mzigo haukufika na muuzaji akataka kumrudishia hela itakuwaje? Je utaipataje hela yako na wakati kadi ime expire?
Sent from my cupboard using mug