Kila MTU abebe msalaba wake mwenyewe, kama ulipanda mahindi ni ya kwako, Fanya utakavyo hakuna wa kukupangia maana serikali Haina Shamba LA mahindi! Hakuna njaa kwahio chomeni mahindi mkaburudishe nafsi. Tena mahindi ya kuchoma na Pili Pili kidogo, acha kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.