Kama ipo nijulisheni kuna chimbo lina odds za uhakika mwezi october. Nataka kusuka mkeka niweke milioni 200.
Mkeka nitakaosuka utakuwa hivi
Rais - Mama Abdul wa Dp World
Mbunge Moro - Abood
Mbunge Gairo - Shabiby
Mbunge Arusha - Makonda
Mbunge Iramba - Mwigulu
Mbunge Mtwara mjini - Double Chance
Mbunge Hai - Double Chance
Mbunge Kigoma mjini - Double chance
Jumla ya odds: 5.2 nikiweka milioni 200 navuna zaidi ya bilioni 1.
Nyingine natumia naacha milioni 300 ya kubetia uchaguzi ujao.