Hakuna kama baba yangu

wazazi wazazi wazazi hakuna kama wazazi
 
Nina mjomba wangu hakusomesha watoto wake..alikuwa mlevi mbwa...watoto wakajitafutia maisha...siku hizi kutwa anasema 'wale Watoto nimewasomesha hawanijali' standard seven ya serikali ndo anaita kuwasomesha..

Hahah hawa wazee wetu tuwasamehe buree laiti wangeweza kujua mbelen itakuwaje wasingefanya hayo
 
Nahisi bado anakupakata, hivo hua unahisi kukalia kitu kigumu kwenye mapaja yake.
 
Nina mjomba wangu hakusomesha watoto wake..alikuwa mlevi mbwa...watoto wakajitafutia maisha...siku hizi kutwa anasema 'wale Watoto nimewasomesha hawanijali' standard seven ya serikali ndo anaita kuwasomesha..

Ahahahahah The Boss
 
Hiyo ni kwaida huku... Nikusihii kuwa Baba na mama hakuna mbadala wao!! ujue Mume waweza pata anytime au mke waweza opoa anytime Lakini dad and Mom ni asilia kuntu usiwadharau,usiwatupe..... radhi zao ni mustakabali mwema kwako.
 
Hahaha, mi naona bora ubalance mapenzi
 
Nina mjomba wangu hakusomesha watoto wake..alikuwa mlevi mbwa...watoto wakajitafutia maisha...siku hizi kutwa anasema 'wale Watoto nimewasomesha hawanijali' standard seven ya serikali ndo anaita kuwasomesha..

tehe tehe tehe tehe tehe tehe kweli kawasomesha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…