Sasa hivi wapinzani wana mamlaka yepi ya kimaadili ya kuwasema CCM kuhusu ufisadi wao?
Hata CHADEMA na UKAWA yao ndo walewale tu.
Waliyemwita fisadi miaka nenda rudi leo hii ndo kiongozi wao [de facto].
Sasa hivi wapinzani wana mamlaka yepi ya kimaadili ya kuwasema CCM kuhusu ufisadi wao?
Kweli IQ za wantanzania wengi ziko chini sanaTena cdm njaa yao ni mbaya.
Kwa sasa hakuna.atakayedhubutu kutamka neno ufisadi, bosi wao na.mfadhiri wao.atakata mrija
Kwakua chadema wapo na fisadi, basi ufisadi usiongelewe?Hata CHADEMA na UKAWA yao ndo walewale tu.
Waliyemwita fisadi miaka nenda rudi leo hii ndo kiongozi wao [de facto].
Sasa hivi wapinzani wana mamlaka yepi ya kimaadili ya kuwasema CCM kuhusu ufisadi wao?
Mkuu, anayetawala nchi hii ni ccm, tusizoee kuwa kila watawala wanapokosolewa tunakimbilia kujificha nyuma ya vyama ambavyo havijashika dola. Na ni vizuri tukumbuke kuwa mamilioni ya raia wa nchi hii si wanachama wa chama chochote cha siasa. Kwa hiyo kwa mfano nikihoji madudu ya watawala, usiniambie kuhusu NCCR, CHADEMA, CUF, ACT nk. Kwa sababu vyama hivyo havitawali nchi hii. Na pia mimi siyo mwanachama wa vyama hivyo.Hata CHADEMA na UKAWA yao ndo walewale tu.
Waliyemwita fisadi miaka nenda rudi leo hii ndo kiongozi wao [de facto].
Sasa hivi wapinzani wana mamlaka yepi ya kimaadili ya kuwasema CCM kuhusu ufisadi wao?
huo ndo ukweli na kama kuna watu wanaamini lowasa anashtakiwa hakuna kitu ksma hicho na 2020 ndani ya nyumba sijui watasema nini lumumbaAnasema hawezi kufukua makaburi kwa kuwa anajua hawezi kumshtaki Lowassa.
Atakuwa amemshtaki JK na serikali yake.
Lakini kama hafukui itakuwaje wakati kila kuchako kuna watu wanavuta hundreds of millions through iptl? Au ni kwa kuwa haimhusu mzee EL?Ndugu wanajamvi habari ya mda huu?
Kwa masikitiko makubwa niseme kwa wazalendo wa nchi hii wanaopenda kuona nchi yetu inasonga mbele tuandike tumeumia kwa hakika. Nasema haya kwa hoja kuu mbili
Moja tuanzie bungeni wiki iliyopita wabunge wa ccm wamehongwa mil. 10 kila moja rais alipoulizwa majibu yake tunajua wote alivyojibu
Pili rais amesema hafukui makaburi mana yake kuhusu escrow, epa, lugumi, iptl,tangold, meremeta, richmound nakadhalika hatagusa. Sasa kuna jipya gani?
Kwa muhtasari huu magufuli amedanganya watanzania wakamwamini kumbe yeye hakuwa na nia ya dhati kushughulikia uozo huu mkubwa je nani anafungwa kama ufisadi wote huu hakamatwi mtu
Tuandike tumeumia wenye akili wataelewa maana ya maneno haya watanzania tusitegemee mapya kutoka ccm kwa kuwa ufisadi ni ccm na ccm ni ufisadi ni sawa na mtoto kumkana baba yake ni kitu haiwezekani
we mzee kichwa yako ina ubongo wa nguruwe! hivi uovu wa ccm unahalalishwa na uovu wa chadema???,Hata CHADEMA na UKAWA yao ndo walewale tu.
Waliyemwita fisadi miaka nenda rudi leo hii ndo kiongozi wao [de facto].
Sasa hivi wapinzani wana mamlaka yepi ya kimaadili ya kuwasema CCM kuhusu ufisadi wao?
Tatizo watakuelewa hawa jamaa? Hakuna kitu kinachonikera kwa mtu kukosoa serikali yake kwa nia nzuri tu, halafu anaibuka kada fulani eti na CDM au CUF au NCCR ni hivyohivyo. Serikali ni yetu sote, hivyo kila mtu ana haki ya kupongeza au kukosoa inapobidi.Mkuu, anayetawala nchi hii ni ccm, tusizoee kuwa kila watawala wanapokosolewa tunakimbilia kujificha nyuma ya vyama ambavyo havijashika dola. Na ni vizuri tukumbuke kuwa mamilioni ya raia wa nchi hii si wanachama wa chama chochote cha siasa. Kwa hiyo kwa mfano nikihoji madudu ya watawala, usiniambie kuhusu NCCR, CHADEMA, CUF, ACT nk. Kwa sababu vyama hivyo havitawali nchi hii. Na pia mimi siyo mwanachama wa vyama hivyo.