Hakuna haja ya kuhangaika kumjibu Polepole

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,265
Reaction score
4,453
Sina lengo la kumjibu Polepole wala sijaona hoja ya kumjibu.

Pia siungi mkono kinachoendelea CCM na wakati yeye anakula kodi zetu enzi za Magu alikuwa anatuambia"Unaijua Vieite wewe "

He is simply Schizophrenic.

Hakuna haja ya kuhangaika naye.Nafikiri CCM ni Chama kilichokomaa katika kiwango cha kuweza kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya nchi bila kuhitaji Pressure na mawazo ya watu kama Polepole

Nimemoliza ila kwa wale ambao wanapenda kufahamu zaidi basi fahamuni kwamba.Kinachosumbua nchi yetu sio CCM bali ni Ombwe la Uongozi.

Ombwe hili lipo ndani na nje ya CCM na kulipiga vitu lazima watu wengi zaidi wajiotokeze kugombea uongozi na wawe na hoja zenye NGUVU na SIO kusubiri wengine wagombee kisha waondoe Ombwe wakati Ombwe lina uweza wa wa kuwaingiza ndani,

POLE POLE apuuzwe.

Najua anaelewa kwa nini BARUA yake ya kwanza haijajibiwa na ya PILI akaamua kuiandika kwa UMMA.
 
So Kiufupi huyu Mpuuzi anaugua Ugonjwa wa akili ambao Exagerated Sense of Self Importance.

Nimemoliza ila kwa wale ambao wanapenda kufahamu zaidi basi fahamuni kwamba.Kinachosumbua nchi yetu sio CCM bali ni Ombwe la Uongozi.Ombwe hili lipo ndani na nje ya CCM na kulipiga vitu lazima watu wengi zaidi wajiotokeze kugombea uongozi na wawe na hoja zenye NGUVU na SIO kusubiri wengine wagombee kisha waondoe Ombwe wakati Ombwe lina uweza wa wa kuwaingiza ndani,

Jadili hoja, usijadili mtu.
 
Wajitokeze kugombea wakati Samia The Killer ameshapora ticket ya CCM kwa kupitia mlango wa nyuma?
 
Jadili hoja, usijadili mtu.
Hoja yake ni Ipi?Mimi nimejaribu kutafuta hoja ambayo inahitaji kujadiliwa ambayo ni mpya ilihata niijadili nikagundua tu hapa hata hakuna hoja ya kujadili maana mengi ni marudio ambayo hata yeye Binafsi anafahamu hilo ila kwa sababu ya Hiyo hali yake anatafuta Public Sympathy

Apuuzwe kwa kweli.
 
Pole pole anaweza kupuuzwa.
Ila HOJA alizo zitoa haziwezi kupuuzwa Kamwe.

Haya Jibu hoja. Kwann CCM inateka, Kutesa na Kuua Watanzania?
 
lakin una taarifa nying zaid kumbe barua ya pili? na anayeweza kusema taarifa na kuthibitisha status ya mgonjwa ni daktari peke yake. je wewe mkuu ni dr?
 
Kwamba mgombea wenu alipatikana kwa kujibu WA katiba na utamaduni wa chama chenu?

Hatutaki psychoanalysis za Polepole maana hapa sio sehemu yake.
 
Hoja yake ni Ipi?Mimi nimejaribu kutafuta hoja ambayo inahitaji kujadiliwa ambayo ni mpya ilihata niijadili nikagundua tu hapa hata hakuna hoja ya kujadili maana mengi ni marudio ambayo hata yeye Binafsi anafahamu hilo ila kwa sababu ya Hiyo hali yake anatafuta Public Sympathy

Apuuzwe kwa kweli.
Kwani hoja ikifanyiwa marudio inakuwa si hoja?

Iliyofanyiwa marudio ni ipi?
 
Ninavyoamini,mlevi akiongea jambo kwa asilimia 97 huwa kuna ukweli.Hizo asilimia tatu ni kwa ajili ya sauti ya kilevi na kupiga kwikwi tu.
 
Kwamba mgombea wenu alipatikana kwa kujibu WA katiba na utamaduni wa chama chenu?

Hatutaki psychoanalysis za Polepole maana hapa sio sehemu yake.
Mgombea Wetu ni nani?
Mgombea Wetu na nani?
Mgombea wako wewe ni ni nani?
Mgombea wenu ninyi ni nani?

Bado nafikiri mantafutana.Mkijipata mtaelewa kodi mnalipa wapi
 
Sina lengo la kumjibu Polepole wala sijaona hoja ya kumjibu.

Pia siungi mkono kinachoendelea CCM na wakati yeye anakula kodi zetu enzi za Magu alikuwa anatuambia"Unaijua Vieite wewe "

He is simply Schizophrenic.

Hakuna haja ya kuhangaika naye.Nafikiri CCM ni Chama kilichokomaa katika kiwango cha kuweza kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya nchi bila kuhitaji Pressure na mawazo ya watu kama Polepole

Nimemoliza ila kwa wale ambao wanapenda kufahamu zaidi basi fahamuni kwamba.Kinachosumbua nchi yetu sio CCM bali ni Ombwe la Uongozi.

Ombwe hili lipo ndani na nje ya CCM na kulipiga vitu lazima watu wengi zaidi wajiotokeze kugombea uongozi na wawe na hoja zenye NGUVU na SIO kusubiri wengine wagombee kisha waondoe Ombwe wakati Ombwe lina uweza wa wa kuwaingiza ndani,

POLE POLE apuuzwe.

Najua anaelewa kwa nini BARUA yake ya kwanza haijajibiwa na ya PILI akaamua kuiandika kwa UMMA.
Unaelewa Maana ya Schizophrenia??
 
Back
Top Bottom