Hakuna Guest bei rahisi Duniani kama Singida Guest

Sijajua ulitaka ukute bei ya Gust house/ Lodge ni 150,000 halafu usemeje, hizo bei za 5000 ni vijijini huko ambapo umefuata Mtama, sasa sijajua upo Singida kijiji gani, ungesema na kijiji ulipo maana kwa mjini ni 15,000Tsh na zaid
 
huko singida vijijini kuna stendi ya mkoa?soma uzi vizuri
 
Kumbe unaongelea issues za umalaya nimekuelewa asee basi mchana mwema mkuu, byee
Sio guest zote huku tano,na pia Hapa waweza piga hata kasichana
Utalala kwenye gar likianza safar
Anafaida anae nyoosha miguu kaunta
 
Mi nishalala guest 3000 tu masaa 24 napewa na ufunguo wangu Musoma hio.
 
Utaamka na kunguni tele wewe!
 
Mbagala Dar. Self ni 5000 tu pungufu unaongea
 
hizi ndizo dalili za umaskini wa eneo
 
Ulishawai kulala ktk utawala wa awamu ya Kikwete?, tuanzie hapo kwanza, kisha ndio turudi tujadili chanzo cha uo urahisi unaousifia Mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…