Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Kati ya mambo yanayokera kwa msafiri katika safari zake ni hili tatizo la nyumba za kulala wageni hii huongeza gharama za msafiri lakini kwa Singida guest nzuri kabisa zilizo karibu na stendi ya mkoa yaani mita 30 tu kutoka stendi unapata guest kwa bei murua kabisa ya tsh 5000,ukiongea nao hadi mwisho ni 4500tsh!ombi kwa mikoa mingine kuiga mfano huu!message sent
Haahaaa[emoji3] nitake radhi mkuu!Walalaji wa guest kwa kusingizia usafiri utawajua tu anajua bei za guest za mikoa yote.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] mimi ni msafiri mkuuHilo ni tangazo la guest yke,ingeweka kajina bas mkuu
[emoji14] [emoji14] [emoji28]Walalaji wa guest kwa kusingizia usafiri utawajua tu anajua bei za guest za mikoa yote.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
Anayeishia Singida na yeye akakeshe bar!hiyo bei ya konyagi si bora ukalale upumzike!Gar linatoka Bukoba au Mwanza linafika Dodoma au Cairo saa5 au 6 usiku huku likitegemea kuanzia safar kesho yake asubuh SAA 11 au saa12
Hapo kuna masaa machache tuu ya kulala SASA MTU UNACHUKUAJE CHUMBA HAPO
Badala ya kupumzika bar ukiwa umesimama wima kaunta unashusha nyagi
Huwa nawasikitikiaga sana wanao chukua Chumba aiseee
....anakuwa na hauweni, aliyelala kwa 5000/- au uliyesimama huku filter za bapa ya 10000/- zinamwaga acid kwenye glasi..?Gar linatoka Bukoba au Mwanza linafika Dodoma au Cairo saa5 au 6 usiku huku likitegemea kuanzia safar kesho yake asubuh SAA 11 au saa12
Hapo kuna masaa machache tuu ya kulala SASA MTU UNACHUKUAJE CHUMBA HAPO
Badala ya kupumzika bar ukiwa umesimama wima kaunta unashusha nyagi
Huwa nawasikitikiaga sana wanao chukua Chumba aiseee
Sio guest zote huku tano,na pia Hapa waweza piga hata kasichanaYupi...
....anakuwa na hauweni, aliyelala kwa 5000/- au uliyesimama huku filter za bapa ya 10000/- zinamwaga acid kwenye glasi..?
Mambo ya Unakotoka DAR Unakoenda DarWalalaji wa guest kwa kusingizia usafiri utawajua tu anajua bei za guest za mikoa yote.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
Kwenye guest ni kweli wamafanikiwa lakini kwenye chakula wasafiri tunateswa sana hapo Singida. Unakuta dereva anawepeleka kwenye vioteli vya ajabu vipo porini unakula chakula kama cha watoto wa shule halafu bei kubwa. Ninyi madereva wa magari yanayoenda kanda ya ziwa ninyi Mungu anawaonaKati ya mambo yanayokera kwa msafiri katika safari zake ni hili tatizo la nyumba za kulala wageni hii huongeza gharama za msafiri lakini kwa Singida guest nzuri kabisa zilizo karibu na stendi ya mkoa yaani mita 30 tu kutoka stendi unapata guest kwa bei murua kabisa ya tsh 5000,ukiongea nao hadi mwisho ni 4500tsh!ombi kwa mikoa mingine kuiga mfano huu!message sent