ANDIKA KWA KISWAHILI TU,
MAANA'KE KIINGEREZA CHENYEWE NI VUMBI TUPu!
Sawa baba wa familia,ni ushauri mzuri ila kwa wale wasiooa unawashaurije baba?
Wote humu mjini wadhani tunaa ndugu kama wewe?
Kiswahili anakijua, anajaribu kiingereza kwanini usimsaidie wewe unaeona kiingereza chake vumbi tupu?!!
Atakuwa ni wema Sepetu huyu bila shaka
ANDIKA KWA KISWAHILI TU,
MAANA'KE KIINGEREZA CHENYEWE NI VUMBI TUPu!