Hakuna furaha inayozidi familia

Hakuna furaha inayozidi familia

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,462
Habari zenu waungwana wa hili jukwaa,

Leo bwana nataka kushea na nyinyi kidogo haya nayoyafahamu,ukweli kuwa kwangu mimi naona hakuna furaha inazidi family,MKE,MUME,WATOTO,WAZAZI,NDUGU, wanaume wengi tumekuwa na tabia ya kutumia gharama kubwa na marafiki watu aina mbalimbali,wale walevi wanakesha bar mradi tu kutafuta ile kitu roho inapenda.

Lakini kwangu mimi sijaona furaha inayozidi family,hebu jaribu kubadili out zako za marafiki na watu wa nje chukua watoto wako mke au mzazi wako au family yako fanya nao out,halafu hebu rudi nyumbani nadhani siku hiyo utahisi kitu tofauti jaribu hili japo mara moja kwa mwezi naaminii utaona tofauti na utahisi furaha ya ajabu,

Kwangu mimi furaha yangu ni family yangu hakuna kingine
 
Tusio na wake na watoto tutoke out na watu gani?

Maana umeandika kama vile watu wote humu wana wake na watoto.

Maisha hayana kanuni, maisha ni uchaguzi,kila mtu ana vipaumbele vyake.

Wengine wahafikirii kabisa kua na wake na watoto. Maisha ni matamu jinsi unavyoyachukulia.
 
Sawa baba wa familia,ni ushauri mzuri ila kwa wale wasiooa unawashaurije baba?
 
kama huna mke na watoto toka na wazazi au ndugu zako
 
Family first. Siyo outing tu, hata unapokuwa na raha/ shida, watu wa kwanza kushare nao furaha au kukufariji kwenye shida ni familia. Mi kila linapotokea jambo la kunifurahisha mfano kupanda cheo, kufaulu vizuri masomo mtu wa kwanza kumpigia ni mume, then my mama. Najua nitatolewa hata out. Nikiwa na shida pia/ stress za kazi wa kwanza kuwajulisha ni family.
 
Kweli kabisa mkuu japo cjaoa bado na sina mchumba pia but every day i dream that family is important thing than...napenda familia sana.
 
Sawa baba wa familia,ni ushauri mzuri ila kwa wale wasiooa unawashaurije baba?

Mkuu Hapo juu nimeandika family, kuna mke mume, wazazi pia, hebu kama hujaowa jaribu kuwa karibu na family yako, yaani wazazi na wengine, jaribu kushea nao mambo yako muhimu, utaona tofauti na utahisi furaha imekuzunguka siku zote
 
  • Thanks
Reactions: Art
Family first. Siyo outing tu, hata unapokuwa na raha/ shida, watu wa kwanza kushare nao furaha au kukufariji kwenye shida ni familia. Mi kila linapotokea jambo la kunifurahisha mfano kupanda cheo, kufaulu vizuri masomo mtu wa kwanza kumpigia ni mume, then my mama. Najua nitatolewa hata out. Nikiwa na shida pia/ stress za kazi wa kwanza kuwajulisha ni family.

Kweli kabisa, watu wengi huenda nje kutafuta furaha, ukweli wanaipata ya muda tu, tena kwa gharama kubwa mno, lakini wangejua wanaziacha furaha zao majumbani tu
 
Mkuu Hapo juu nimeandika family, kuna mke mume, wazazi pia, hebu kama hujaowa jaribu kuwa karibu na family yako, yaani wazazi na wengine, jaribu kushea nao mambo yako muhimu, utaona tofauti na utahisi furaha imekuzunguka siku zote

Mmmhmmm .. My Dad , uwiiiii aaaaahhhaaa nicheke because He is very complicate man .. Ukimuambia out for dinner or lunch aaahhhaa.. Acha tuu niishie hapa .. ( maana yumo humu Jf ).. But for other relatives are easy going and work perfectly always.. Ni kweli they are really bring Joy in my heart and soul .. Family is the best .. Thanks ..
 
Family Kwanzaa. Wengine ni just a bonus. I love my family kwa kweli wala hainichoshi
 
Mmmhmmm .. My Dad , uwiiiii aaaaahhhaaa nicheke because He is very complicate man .. Ukimuambia out for dinner or lunch aaahhhaa.. Acha tuu niishie hapa .. ( maana yumo humu Jf ).. But for other relatives are easy going and work perfectly always.. Ni kweli they are really bring Joy in my heart and soul .. Family is the best .. Thanks ..

ANDIKA KWA KISWAHILI TU,

MAANA'KE KIINGEREZA CHENYEWE NI VUMBI TUPu!
 
Back
Top Bottom