hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,313
- 26,716
HAYA MAMBO YA DINI BANA
Ili Gaza ijengwe upya inabidi watu wa Gaza wapalestina waondoke kwa muda waende nje ya nchi yao Ili wakirudi wakute Gaza imejengwa upya 😎
Rais wa Marekani Donald Trump kawaagiza Jordan na Misri wawachukue wapalestina wawa hifadhi kitu ambacho Jordan na Misri wamewakataa kata-kata kuwapokea watu wa Gaza ambao ni waislam wenzao😅
Nimebaki najiuliza kumbe waislam wanajijua ni wakorofi ndio maana wanashindwa kuhifadhiana 📶
1) Shia na Suni hawaelewani😅
2) Suni wenyewe kwa wenyewe hawaelewani (ndani ya Sunni Kuna Salafi na wahabi ,Hawa ni chui na paka )😅 ( kifo cha sheikh Ramadhan idd salafi wameshangilia sana,Tena wanaitana makafiri)
3) Waislam vs wahindu hawaelewani 😅
4) Waislam vs Baha'i hawaelewani 😅
5) Waislam vs wayahudi ni Shida😅
6) Waislam vs Sikh ni Shida tele 😅
7) Waislam vs Wakristo ni shida mbaya 😅
8) Waislam vs Buddha ni Shida tupu😅
KUNA MUDA unaweza wapongeza sana Waisrael kuweza kukaa jirani na wapalestina na wengine wapalestina kuishi ndani ya mipaka yao
Ni neema kubwa sana maana wao wenyewe hawapatani😅
Full mvurugano tu
Kila mmoja anahubiri Amani,
Huyu anahubiri hii dini ya Amani na haki.....lakini anaikimbia nchi yake
Ukimuuliza mbona haukai nchini kwako atakujibu hakuna Amani📶
mambo mtibuano📶
HII NDIO DINI YA HAKI📴❌❌
HAKUNA DINI inayoweza leta Amani
Amani itazaliwa endapo watu wote watavua mavazi yao ya utumwa wa DINI ambayo yanamfanya kila mmoja avutie ..
Basi upendo utaanzia hapo.
DINI NI UTAPELI, DINI NI PROJECT ZA WATU WACHACHE
DINI NI MFUMO WA PYRAMID,MAAMUMA WAPO CHINI ,WAKUBWA WAPO JUU WANAJUA PROJECT INAVYOENDA