MBUTAIYO
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 696
- 413
Habari wana taaluma,
Heri ya mwaka mpya. Kuna ndugu yangu ana tatizo ambalo ameshughulika nalo kupitia tiba mbadala lakini mafanikio bado. Ni kwamba hapati hamu ya kufanya tendo la ndoa, ingawaje uume una weza kudinda vizuri.
Tiba mbadala walimpima na vipimo vyao wakamwambia tatizo ni hormone iitwayo testrosterone (kama sijakosea) ambayo iko chini. Amepewa dawa dose mara tatu, lakini tatizo liko palepale.
Nauliza kwamba, kama ni kweli tatizo ndio hilo, je, hakuna dawa za hospital zinazoweza kutibu tatizo hilo?