Hakuna dawa za hospitali zinazoweza kutibu tatizo la nguvu za kiume?

Hakuna dawa ya kutibu nguvu za kiume Mahospitalini Ma-Daktari watakushauri utumie dawa ya Viagrana ndio dawa itakayo kukuharibia hata zile nguvu zako za kiume za asili.Kwani utakuw ausipotumia Viagara utakwu ahuna tena nguvu za kiumena utakuwa mteja wa hizo dawa.

Huyo ndugu yako kwa dalili zilioz hapo chini atakuwa ana Jini mahaba wakike aka Pepo mchafu ndio anaye muharibia asijisikie hamu ya kufanya tendo la ndoa au kufanya mapenzi na mpenzi wake Dalili zenyewe hizi hapa chini Soma kwa makini upate kuelewa.

Dalili za kuonyesha wewe una shetani mwilini mwako ni hizi hapa haswa unapokuwa umelala kwenye ndoto. Ikikutokea

moja kati ya hizo hapo inaonyesha wewe una shetani ikiwa ni Mwanamme basi utakuwa na shetani

Mwanamke na ikiwa wewe ni mwanamke basi utakuwa na shetani Mwanamme
.

DALILI za kuwa shetani KATIKA NDOTO.

A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.

B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.

C. KUOTA UNAPIGWA.

D.NDOTO ZA KUOGELEA.

E. NDOTO ZA KUPAA.

F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.

G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.

H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.

I.KUOTA UNAPIGANA.

J.KUOTA UNAPIGA KELELE.

K.KUOTA MOTO MKUBWA.

L. KUOTA UNAZIKA.

M.KUOTA UMEKUFA.

N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.

O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.

P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.

R.KUOTA UNAONA VISUGUU.

S. Wakati wa kulala Kustuka Stuka usingizini.

AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.

BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.

CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.

DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.

EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..

FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE

NA KITAMBAA CHEUPE.

GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.

HH.KUOTA VIBUYU.

II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.

KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .

HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA
KWA UFUPI . Ukita Dawa na ushauri zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapafewgoodman@hotmail.com
Mkuu Mzizi Mkavu umetisha baba....
 
Habari wana taaluma,
Heri ya mwaka mpya. Kuna ndugu yangu ana tatizo ambalo ameshughulika nalo kupitia tiba mbadala lakini mafanikio bado. Ni kwamba hapati hamu ya kufanya tendo la ndoa, ingawaje uume una weza kudinda vizuri.

Tiba mbadala walimpima na vipimo vyao wakamwambia tatizo ni hormone iitwayo testrosterone (kama sijakosea) ambayo iko chini. Amepewa dawa dose mara tatu, lakini tatizo liko palepale.

Nauliza kwamba, kama ni kweli tatizo ndio hilo, je, hakuna dawa za hospital zinazoweza kutibu tatizo hilo?
Njoo nkuelekeze...permanent solution upo
 
Back
Top Bottom