Hakuna dawa za hospitali zinazoweza kutibu tatizo la nguvu za kiume?

Alekebishe kwanza saikolojia yake,asipanic na kuamini kuwa kwa kua hana nguvu za kisaikolojia basi yeye sio mwanaume tena,kwa bahati mbaya sana hakuna dawa za nguvu za kiume za kudumu,ila zipo dawa za kusikia hamu ya kujamiiana kwa muda husika baada ya hapo unarudi kawaida,nguvu nzuri ya kiume ni punguza kula kula vitu visivyo na mantiki,tumbo likiwa na gesi au kuuunguruma unguruma hovyo usitegemee utakuwa vizuri kitandani.Rekebisha hilo hakikisha kila siku unatoa choo laini na tumbo liko poa,ukitoka hapo fanya mazoezi hasa ya kukimbia,utakua poa hatari na utakuja kuthibitisha hiki ninachokwambia,Kwa hyo ukienda kutafuta dawa nenda katafute dawa ya kurekebisha tumbo,kula vizuru pumzika nakunywa maji mengi,la ziada aache kuwaogopa wanawake anapoanza tendo asiamini kuwa hana nguvu za kiume
 
Mimi naamini
-Akifanya Mazoezi kuzunguka uwanja Mara 20 au akimbie mara 15 na afanye short sprints 15 kwa siku
-Mazoezi makali ya Tumbo
-Aache na atoe kabisa picha/video za ngono kwenye PC yake au Simu
-Aache Punyeto
-Kula Matunda
-Piga milo mitatu
-Kunywa maji mengi
-piga squats angalau 150 kwa siku na Pushups 100 hata kama ni za kuunga Unga. Fikisha 100

Pia kama Ni Graduate wa mda mrefu hajapata kazi au hana Mchongo Stress huwa zinasababisha hii kitu atakapopata kazi I am sure atakua fiti stress Ni kitu kibaya
 
Habari wana taaluma,
Heri ya mwaka mpya. Kuna ndugu yangu ana tatizo ambalo ameshughulika nalo kupitia tiba mbadala lakini mafanikio bado. Ni kwamba hapati hamu ya kufanya tendo la ndoa, ingawaje uume una weza kudinda vizuri.

Tiba mbadala walimpima na vipimo vyao wakamwambia tatizo ni hormone iitwayo testrosterone (kama sijakosea) ambayo iko chini. Amepewa dawa dose mara tatu, lakini tatizo liko palepale.

Nauliza kwamba, kama ni kweli tatizo ndio hilo, je, hakuna dawa za hospital zinazoweza kutibu tatizo hilo?
habar mkuu nguvu za kiume sio ugonjwa usitafute dawa upungufu wa nguvu za kiume ni dalili tu ya magonjwa yafuatayo

presha
kisukar
unene uliopiliza
misuli mishipa nerve kushindwa kufanya kaz kwa pamoja

hormone ya testosteron kushuka
mawazo

side effect ya dawa za hospital

back to the point teatosterone unapandishwa tena kwa matunda na zoez ndan ya siku tatu ninauwezo wa kumtibu atapona kabisa nimrtibu weng zaid ya watu mia mbili hamsin ushuuda upo isntagram jina langu ni dr appoh kishimbo
ninatoza gharama za elfu 20 tu kwa formula ya kuabdaa mchanganyiko wa matunda wa kutibu tatizo hilo ukiwa home whats app 0712505049
 
Asante sana,
Naona ndicho kilichoendelea, ndio maana anataka kurudi hospitalini.
hospital hamba tiba kuna vipimo tu ushaamviwa ni hormone pandisha hormone kwa njia za asili hospital ni biashara hawakuambii side effect usiende kama hutak kutumia formula yangu bas bora ugoogle to how to lift up testosterone kuliko kwenda kumaliza uwezo wa asili wa nduguyo awe anategemea madawa
 
Habari wana taaluma,
Heri ya mwaka mpya. Kuna ndugu yangu ana tatizo ambalo ameshughulika nalo kupitia tiba mbadala lakini mafanikio bado. Ni kwamba hapati hamu ya kufanya tendo la ndoa, ingawaje uume una weza kudinda vizuri.

Tiba mbadala walimpima na vipimo vyao wakamwambia tatizo ni hormone iitwayo testrosterone (kama sijakosea) ambayo iko chini. Amepewa dawa dose mara tatu, lakini tatizo liko palepale.

Nauliza kwamba, kama ni kweli tatizo ndio hilo, je, hakuna dawa za hospital zinazoweza kutibu tatizo hilo?
Ndugu huu naona kama uzushi. Inakuwaje mtu asiwe na hamu ya kufanya Zinaa lakini uume wake unadinda tu?! Mzushi Wewe! Ongea Ukweli hasa unaowasibu! Kama huyo jongoo hapandi Mtungi tiba za kisayansi zipo nyingi tu.. Viagara, cialis nk. Tatizo dogo... Tiba mbadala uzushi tu...
 
Alekebishe kwanza saikolojia yake,asipanic na kuamini kuwa kwa kua hana nguvu za kisaikolojia basi yeye sio mwanaume tena,kwa bahati mbaya sana hakuna dawa za nguvu za kiume za kudumu,ila zipo dawa za kusikia hamu ya kujamiiana kwa muda husika baada ya hapo unarudi kawaida,nguvu nzuri ya kiume ni punguza kula kula vitu visivyo na mantiki,tumbo likiwa na gesi au kuuunguruma unguruma hovyo usitegemee utakuwa vizuri kitandani.Rekebisha hilo hakikisha kila siku unatoa choo laini na tumbo liko poa,ukitoka hapo fanya mazoezi hasa ya kukimbia,utakua poa hatari na utakuja kuthibitisha hiki ninachokwambia,Kwa hyo ukienda kutafuta dawa nenda katafute dawa ya kurekebisha tumbo,kula vizuru pumzika nakunywa maji mengi,la ziada aache kuwaogopa wanawake anapoanza tendo asiamini kuwa hana nguvu za kiume
Asante sana sana mkuu,
Hii naona ni dawa ya kutosha!
 
Ndugu huu naona kama uzushi. Inakuwaje mtu asiwe na hamu ya kufanya Zinaa lakini uume wake unadinda tu?! Mzushi Wewe! Ongea Ukweli hasa unaowasibu! Kama huyo jongoo hapandi Mtungi tiba za kisayansi zipo nyingi tu.. Viagara, cialis nk. Tatizo dogo... Tiba mbadala uzushi tu...
Inatokana na maelezo yake mkuu,
Labda anashinwa kuelewa hali halisi inavyokuwa,
 
habar mkuu nguvu za kiume sio ugonjwa usitafute dawa upungufu wa nguvu za kiume ni dalili tu ya magonjwa yafuatayo

presha
kisukar
unene uliopiliza
misuli mishipa nerve kushindwa kufanya kaz kwa pamoja

hormone ya testosteron kushuka
mawazo

side effect ya dawa za hospital

back to the point teatosterone unapandishwa tena kwa matunda na zoez ndan ya siku tatu ninauwezo wa kumtibu atapona kabisa nimrtibu weng zaid ya watu mia mbili hamsin ushuuda upo isntagram jina langu ni dr appoh kishimbo
ninatoza gharama za elfu 20 tu kwa formula ya kuabdaa mchanganyiko wa matunda wa kutibu tatizo hilo ukiwa home whats app 0712505049
Asante,
Atakupigia
 
Habari wana taaluma,
Heri ya mwaka mpya. Kuna ndugu yangu ana tatizo ambalo ameshughulika nalo kupitia tiba mbadala lakini mafanikio bado. Ni kwamba hapati hamu ya kufanya tendo la ndoa, ingawaje uume una weza kudinda vizuri.

Tiba mbadala walimpima na vipimo vyao wakamwambia tatizo ni hormone iitwayo testrosterone (kama sijakosea) ambayo iko chini. Amepewa dawa dose mara tatu, lakini tatizo liko palepale.

Nauliza kwamba, kama ni kweli tatizo ndio hilo, je, hakuna dawa za hospital zinazoweza kutibu tatizo hilo?
Hakuna dawa ya kutibu nguvu za kiume Mahospitalini Ma-Daktari watakushauri utumie dawa ya Viagrana ndio dawa itakayo kukuharibia hata zile nguvu zako za kiume za asili.Kwani utakuw ausipotumia Viagara utakwu ahuna tena nguvu za kiumena utakuwa mteja wa hizo dawa.

Huyo ndugu yako kwa dalili zilioz hapo chini atakuwa ana Jini mahaba wakike aka Pepo mchafu ndio anaye muharibia asijisikie hamu ya kufanya tendo la ndoa au kufanya mapenzi na mpenzi wake Dalili zenyewe hizi hapa chini Soma kwa makini upate kuelewa.

Dalili za kuonyesha wewe una shetani mwilini mwako ni hizi hapa haswa unapokuwa umelala kwenye ndoto. Ikikutokea

moja kati ya hizo hapo inaonyesha wewe una shetani ikiwa ni Mwanamme basi utakuwa na shetani

Mwanamke na ikiwa wewe ni mwanamke basi utakuwa na shetani Mwanamme
.

DALILI za kuwa shetani KATIKA NDOTO.

A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.

B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.

C. KUOTA UNAPIGWA.

D.NDOTO ZA KUOGELEA.

E. NDOTO ZA KUPAA.

F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.

G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.

H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.

I.KUOTA UNAPIGANA.

J.KUOTA UNAPIGA KELELE.

K.KUOTA MOTO MKUBWA.

L. KUOTA UNAZIKA.

M.KUOTA UMEKUFA.

N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.

O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.

P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.

R.KUOTA UNAONA VISUGUU.

S. Wakati wa kulala Kustuka Stuka usingizini.

AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.

BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.

CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.

DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.

EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..

FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE

NA KITAMBAA CHEUPE.

GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.

HH.KUOTA VIBUYU.

II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.

KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .

HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA
KWA UFUPI . Ukita Dawa na ushauri zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapafewgoodman@hotmail.com
 
Aendelee na dawa hizo au atafute nyingine za aina hizo
 
Alekebishe kwanza saikolojia yake,asipanic na kuamini kuwa kwa kua hana nguvu za kisaikolojia basi yeye sio mwanaume tena,kwa bahati mbaya sana hakuna dawa za nguvu za kiume za kudumu,ila zipo dawa za kusikia hamu ya kujamiiana kwa muda husika baada ya hapo unarudi kawaida,nguvu nzuri ya kiume ni punguza kula kula vitu visivyo na mantiki,tumbo likiwa na gesi au kuuunguruma unguruma hovyo usitegemee utakuwa vizuri kitandani.Rekebisha hilo hakikisha kila siku unatoa choo laini na tumbo liko poa,ukitoka hapo fanya mazoezi hasa ya kukimbia,utakua poa hatari na utakuja kuthibitisha hiki ninachokwambia,Kwa hyo ukienda kutafuta dawa nenda katafute dawa ya kurekebisha tumbo,kula vizuru pumzika nakunywa maji mengi,la ziada aache kuwaogopa wanawake anapoanza tendo asiamini kuwa hana nguvu za kiume

Pia usiangalie filamu za ngono!
 
Hakuna dawa ya kutibu nguvu za kiume Mahospitalini Ma-Daktari watakushauri utumie dawa ya Viagrana ndio dawa itakayo kukuharibia hata zile nguvu zako za kiume za asili.Kwani utakuw ausipotumia Viagara utakwu ahuna tena nguvu za kiumena utakuwa mteja wa hizo dawa.

Huyo ndugu yako kwa dalili zilioz hapo chini atakuwa ana Jini mahaba wakike aka Pepo mchafu ndio anaye muharibia asijisikie hamu ya kufanya tendo la ndoa au kufanya mapenzi na mpenzi wake Dalili zenyewe hizi hapa chini Soma kwa makini upate kuelewa.

Dalili za kuonyesha wewe una shetani mwilini mwako ni hizi hapa haswa unapokuwa umelala kwenye ndoto. Ikikutokea

moja kati ya hizo hapo inaonyesha wewe una shetani ikiwa ni Mwanamme basi utakuwa na shetani

Mwanamke na ikiwa wewe ni mwanamke basi utakuwa na shetani Mwanamme
.

DALILI za kuwa shetani KATIKA NDOTO.

A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.

B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.

C. KUOTA UNAPIGWA.

D.NDOTO ZA KUOGELEA.

E. NDOTO ZA KUPAA.

F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.

G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.

H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.

I.KUOTA UNAPIGANA.

J.KUOTA UNAPIGA KELELE.

K.KUOTA MOTO MKUBWA.

L. KUOTA UNAZIKA.

M.KUOTA UMEKUFA.

N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.

O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.

P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.

R.KUOTA UNAONA VISUGUU.

S. Wakati wa kulala Kustuka Stuka usingizini.

AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.

BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.

CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.

DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.

EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..

FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE

NA KITAMBAA CHEUPE.

GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.

HH.KUOTA VIBUYU.

II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.

KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .

HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA
KWA UFUPI . Ukita Dawa na ushauri zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapafewgoodman@hotmail.com
Kwaiyo nina mazombi mAANA KWA KUSHITSHITUKA USIKU SIJAMBO
NA KUOTA NA PAA JUUU ME NDIO MWENYEWE
 
Duu, haya mkuu,
Asante, ngoja mtawasiliana tuone.
 
Back
Top Bottom