proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,618
- 11,856
Imekua kawaida sasa kwa wataalamu wa afya ( doctors) na wale wa dawa za asili ( herbalists) kupambana katika kutatua matatizo ya magonjwa kama kisukari,upungufu wa nguvu za kiume , matatizo ya uzazi na mengineyo mengi.
Swala linakuja, hawa watu wanatafuta hela ni vyema ila kuna tatizo lingine sugu limeibuka La watu kupenda,kama kwamba hata wanawake wafupi na warefu hawapendi kuolewa na wanaume wafupi.Wanataka kuolewa na wanaume warefu kwa kua sifa yao wana nguvu na kujiamini ukilinganisha na wale wafupi japokua nao wapo wanaojiamini kupita hata wale warefu.
Ombi langu kwa hawa wataalamu wabuni dawa za kuongeza urefu(kimo) kama walivyobuni dawa za kurefusha penis japokuwa kwan hawa wenzetu wa Magharib wa uwezo kwa kiasi fulan kama kuwapa watoto lishe bora na vidonge vya urefu au kufanya upasuaji kwa kuongeza mifupa jambo ambalo ni hatari kwa afya zetu.
Hili tatizo ni sugu kwani idadi ya watu wafungi wanaongezeka badala ya kupungua wakati kipindi cha nyuma kidogo tallest walikua wengi ukilinganisha na sasa.
Wataalamu kaeni chini fanyeni ubunifu hapa na penyewe ni sehemu ya kupata hela kutokana na huu ugonjwa sugu.Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko maabara apa nacheza chemical itaptkana tu kama ya kufubaza imepatka sembuse iyo naisaka hii ajira kwa nguvu.Ukiipata ni PM na me naitaka
ProbabilityHakuna mtu mrefu kama hakuna mtu mfupi, pia hakuna mtu mfupi kama hakuna mtu mrefu, hivyo basi urefu na ufupi zote ni sifa sawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipokua nakua nilikua narefuka kwa Kasi na haraka xanaaaa kuzidi wenzangu, Nilipokua nikitembea nao nilikua napinda mgongo ili nilingane nao tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
My mom alikua nurse, ikabidi ni muulize hiv mom hakuna dawa ya kupunguza urefu? Aliishia kucheka tuu [emoji23][emoji23]
Bt today natamani niendelee kurefuka tuu, ndo haiwezekani tena mifupa isha komaa [emoji17][emoji17]
Ila nikizidi hapa ntakua ngongoti [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana iyoUmenikumbusha enzi za utoto
Kuna wenzetu walikuwa wanachanjia utumvo wa papai kwenye dushe ili irefuke na kunenepa lkn ikawa ollah
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko maabara apa nacheza chemical itaptkana tu kama ya kufubaza imepatka sembuse iyo naisaka hii ajira kwa nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn uume tu.Dawa ya kurefusha uume ipo ila ya kujirefusha haipo
Imekua kawaida sasa kwa wataalamu wa afya ( doctors) na wale wa dawa za asili ( herbalists) kupambana katika kutatua matatizo ya magonjwa kama kisukari,upungufu wa nguvu za kiume , matatizo ya uzazi na mengineyo mengi.
Swala linakuja, hawa watu wanatafuta hela ni vyema ila kuna tatizo lingine sugu limeibuka La watu kupenda,kama kwamba hata wanawake wafupi na warefu hawapendi kuolewa na wanaume wafupi.Wanataka kuolewa na wanaume warefu kwa kua sifa yao wana nguvu na kujiamini ukilinganisha na wale wafupi japokua nao wapo wanaojiamini kupita hata wale warefu.
Ombi langu kwa hawa wataalamu wabuni dawa za kuongeza urefu(kimo) kama walivyobuni dawa za kurefusha penis japokuwa kwan hawa wenzetu wa Magharib wa uwezo kwa kiasi fulan kama kuwapa watoto lishe bora na vidonge vya urefu au kufanya upasuaji kwa kuongeza mifupa jambo ambalo ni hatari kwa afya zetu.
Hili tatizo ni sugu kwani idadi ya watu wafungi wanaongezeka badala ya kupungua wakati kipindi cha nyuma kidogo tallest walikua wengi ukilinganisha na sasa.
Wataalamu kaeni chini fanyeni ubunifu hapa na penyewe ni sehemu ya kupata hela kutokana na huu ugonjwa sugu.Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha enzi za utoto
Kuna wenzetu walikuwa wanachanjia utumvo wa papai kwenye dushe ili irefuke na kunenepa lkn ikawa ollah
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshkaji. Kuongeza ukubwa wa puchi si huyo mwanamke atakua amejitafutia balaa...
We unaakili calcium ni nzuri kwenye mifupaUkitaka kunifikia mm vaa viatu ya sole ya inchi 4 kama machalii ya Chuga.. Haaa..
Jamani kuleni nyama na maziwa kwa sana mpate more calcium muwe warefu
Mnyaa inasababisha dushe kuvimba na kuziba kwa mkojo.Utomvu wa mnyaa pia ulitumika.
Sent from my iPhone using JamiiForums