Hakuna cha solidarity kwenye masuala ya Simba na Yanga

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,411
3,458
Leo sisalimii mtu.

Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity.

Sisi Yanga hatuwaombei mema Simba na hao simba hawatuombei mema Yanga.

HAKUNA CHA SOLIDARITY, DUA ZETU ZOTE TUNAOMBA SIMBA AFUNGWE KESHO. MTUTOLEE UPUMBAVU HUKO.

Mathalani, in England Arsenal anacheza na bayern quarter final ila hakuna shabiki wa Chelsea wa England anayoiombea mema Arsenal. Rivarly ipo pale pale. Mtutolee ujinga hapa.
 
...vile vile tunaomba yanga ifungwe kesho kutwa mtutolee ujinga wenu kulee!
 
Kamishna wa mchezo nadhani ni mkenya yule kwa Simba na Ahly alisema Tanzania imebarikiwa kuwa na hii celebration hasa kwa wakati huu wa siku kuu
Ingawa mi ni shabiki wa yanga ila napenda wote twende mbele
Mimi siwezi kwenda nusu fainali na timu imejaza kina Pa omary Jobe. Simba apigwe nyingi kesho.
 
Solidarity namjingahh🤣🤣never hatufungaman na kijan ni wajingah
Na sisi hatuwezi kufanya solidarity na michawi ya zanzibar huko. Mechi na al ahly iliyoshuka kiwango ila team imekazana kweli kweli huko zanzibar kufanya kila aina ya ushirikina.
 
Sasa nani anataka usolidarity na wewe...tukifungwa na nyie tutahakikisha mnafungwa...
Hapo sasa ndo umeongea, kila mtu ashinde mechi zake, hatutaki mambo ya solidarity hapa na ubani tunawachomea usiku kucha mfungwe.
 
Leo sisalimii mtu.
Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity.

Sisi Yanga hatuwaombei mema Simba na hao simba hawatuombei mema Yanga.

HAKUNA CHA SOLIDARITY, DUA ZETU ZOTE TUNAOMBA SIMBA AFUNGWE KESHO. MTUTOLEE UPUMBAVU HUKO.

Mathalani, in England Arsenal anacheza na bayern quarter final ila hakuna shabiki wa Chelsea wa England anayoiombea mema Arsenal. Rivarly ipo pale pale. Mtutolee ujinga hapa.
Ni kweli kabisa Hakuna cha Solidarity ni ujinga kabisa huu. Kwanza Solidarity huwa inahitajika pale nchi ilipo kwenye matatizo kama vile vita. Simba ifungwe tu kesho
 
Waziri aambiwe ukweli, kesho sis ni Al ahly mwanzo mwisho.
 
Mathalani, in England Arsenal anacheza na bayern quarter final ila hakuna shabiki wa Chelsea wa England anayoiombea mema Arsenal. Rivarly ipo pale pale. Mtutolee ujinga hapa.
Mjinga ni wewe usiyekubaliana na mawazo ya Wengine. Baki na ushabiki wako na hayo mawazo na maoni yako hayawezi kubadili Chochote
 
Mimi siwezi kwenda nusu fainali na timu imejaza kina Pa omary Jobe. Simba apigwe nyingi kesho.
Hapana twende pamoja nusu final kumbuka team zetu mbili ndio zimepangwa na magwiji kwa namna flani unaweza dhani ni hiyana tuungane tukiitoa hii miamba majina ya team zetu na nchi zitaimbwa kwa mwaka mzima kutoka Cairo hadi Pretoria
Go Simba Go Yanga
 
images (1)-1.jpeg
 
Leo sisalimii mtu.
Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity.

Sisi Yanga hatuwaombei mema Simba na hao simba hawatuombei mema Yanga.

HAKUNA CHA SOLIDARITY, DUA ZETU ZOTE TUNAOMBA SIMBA AFUNGWE KESHO. MTUTOLEE UPUMBAVU HUKO.

Mathalani, in England Arsenal anacheza na bayern quarter final ila hakuna shabiki wa Chelsea wa England anayoiombea mema Arsenal. Rivarly ipo pale pale. Mtutolee ujinga hapa.
Wakome kabisa....
 
Back
Top Bottom