Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 548
- 1,084
Comment boraAnaridhikaje wakati hajaumbiwa kuridhika bali kuridhisha?
Mwanamke mtumie vile unataka kujiridhisha usihangaike kumridhisha, kuridhika sio jukumu la mwanamke.
They're our tools you fools
πππSasa hivi nikipiga kimoja chali, sema najitutumua tu kulinda brand
Uhakikaπ€£π€£π€£π€£π€£ au sio!
Hio Ni Nadharia tuMwanamke ambaye hakupendi hawezi kuridhika.
Kuna mahali anaridhika.
Kajikuta amekwaa kisiki
Umewaza mbali ila Bahato mbaya ulichokiwaza sio SahihiπUkisikia Paaaaaaaaa π€π€π€π€π€
Labda Bado Sjaona vyote Duniani Kuhusu wanawake Nasubiri Nilione HiloWAtu wanawachukulia sana kwa upana wanawake ndio maana wanaona ni watu wasioridhika au kueleweka..ila kila mwanamke ana mwanaume wake mmoja ambae anamridhisha kwa kitu anachopenda