The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,158
Siri Iliyofichwa Kwenye Ramani Yako ya Kuzaliwa
Katika ulimwengu huu wa ajabu, uliojaa mwanga, giza, na misukosuko, kuna ukweli mmoja mkubwa ambao watu wengi hawajawahi kuambiwa
Hakuna binadamu hata mmoja aliyezaliwa masikini.
Masikini si hali ya fedha mfukoni. Masikini ni hali ya kutokujua. Masikini ni mtu asiyejua alichonacho ndani yake. Umasikini mkubwa si wa chakula, si wa mavazi, bali ni wa maarifa na ufahamu wa nafasi yako ya kipekee katika dunia hii. Na maarifa hayo yameandikwa ndani ya kitu kimoja kikbwa sana
Kitu hicho ni Chart yako ya kuzaliwa – ramani ya mbingu siku ulipozaliwa ramani ya kuzaliwa ni ufunguo wa mafanikio yako kila mtu alipozaliwa, sayari ziliandika ujumbe wake, baraka zake, changamoto zake, na mlango wake wa kupenya. Hii ndiyo tunaita Birth Chart, au kwa lugha ya kiroho, Agano la Nafsi. Ndani ya ramani hii kuna maeneo mawili makubwa sana ambayo wengi hawajui lakini yakifunguliwa, yanaweza kubadilisha maisha yako milele:
Part of Fortune (Bahati ya Asili)
Hili ni eneo ambalo linaonesha kile ambacho ukikifanya kwa moyo safi, unapata matokeo chanya hata kama ulikuwa kwenye shida kiasi gani. Ni kama hazina iliyofichwa, na mara nyingi haiko kwenye kazi unayoifanya kwa kukopi wengine, bali iko kwenye kile ambacho roho yako inavutiwa nacho tangu utotoni.
Hili ni eneo la baraka za kiroho, na linahitaji uamke ndani yako ili ulione.
Vertex (Mlango wa Bahati ya Ghafla)
Hii ni ile nguvu ambayo watu huita:
“Nilipata tu zali ghafla.” Lakini hiyo si bahati ya bahati nasibu. Ni mlango wa muunganiko wa Kiroho na Karmic Timing — muda ambao nafsi yako hukutana na fursa maalum. Inaweza kuwa mtu, tukio, au nafasi ambayo inabadilisha kabisa maisha yako.
Vertex ni siri ya bahati ya ajabu isiyoelezeka, lakini ipo kwenye chart yako. Unachotakiwa kufanya ni kujua iko wapi na iko kwenye nyumba gani ya maisha yako — mapenzi, kazi, huduma, maarifa?
Maisha yako yako ndani yako
Watu wengi wanateseka si kwa sababu maisha ni magumu — bali kwa sababu hawajui waliko toka I wapi na wanako elekea wapi.