Hakuna ambaye akifa ni sawa na mwingine

Hakuna ambaye akifa ni sawa na mwingine

Upinzani kumejaa wanafiki na mijiti yenye roho mbaya balaa. Halafu huwa inajiona iko sahihi siku zote na kwa kila kitu na Mungu ni wa kwao peke yao
Ila kinyume cha Upinzani huko hukuna mijitu yenye roho mbaya, wao ni malaika wote.

Akili na matope ni vitu 2 tofauti, umeshindwa kugundua hata hilo?
Nakuombea upone, vinginevyo ........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Wasalimie Ufipa

Waambie pongezi zao kwa Askari na viongozi waliouawa Kibiti tumezipokea bila kusahau Viongozi wa CUF. mungu wenu kaamua
 
Binadamu wote Ni sawa ila tunatofautiana ndo maana mjomba wako alivyokufa walilia ndugu tu nyerere alivyokufa tanzania nzima ilikuwa kwenye majonzi na vilio.
 
Sijaona mantiki ya huu uzi.
Afadhali nawe umeona Uzi wa mdada mwenzio ni Pumba,
Ndio tabu ya kuchanganya Nyuzi za JF na Stress za Kuachwa,
Mara anaandika kushangilia, mara kuhuzunika, yaani haeleweki,
Kutendwa na Boyfriend wake kunampelekea achukie wanaume wote anaowaona,
 
Aliyekwambia Binadamu tuko sawa ni nani?
Huo ni msemo kwa Wachache kuwafariji walio wengi!

Sasa kwa Mfano wa Lissu ndo utajua Binadamu hatuko sawa.

Mfano wewe mtoa mada ukifariki, unadhani kuna nani atasikitika Tanzania hii!? Zaidi ya Familia yako na Ndugu zako tu.
 
Bavicha wote wana matatizo ya akili
 
Watu wengi wana roho mbaya na unafiki sana, ubaguzi, hawaelewi kuwa kutofautiana kiitikadi sio uadui.

Wanadhani wanaoamini waaminicho wao ndio wana akili, wajanja na majembe ila wanaoamini tofauti na wao ni wakufa tu, wajinga na pengine hawana akili kabisa.

Kibiti kumetokea mauaji ya watu wengi sana ila baadhi ya watu tena humu ni wengi wanashangilia eti wafe waishe, ili hicho chama kife!!! Wengine ooohhh ndo wadhalimu!! Wamekufa viongozi wa CUF juzi watu haohao pia eti ni dhambi sijui nini wanaua cuf wafe tu.

Hivi hao sio binadamu wenzetu?? Kutofautiana na sisi kimtazamo ni sababu ya baadhi kushangilia vifo vyao?

Jana Mh. Mbunge kapigwa risasi baadhi ya watu wanashangilia kweliiii???

Lakini cha kushangaza zaidi wengi waliozodoa waliokufa kibiti na ajali ya CUF wanataka wote tuungane nao tumlilie Lissu??? Kwamba ndie mwenye moyo tu na kuliko wengine???

'Lets Pray for Lissu' Mungu amponye arejee kufanya kazi zake.
Jiandae na mashambulizi Madam Mwajuma.....maisha bila unafiki hayaendi! Kuna watu wako perfect humu ili wewe uwe binadamu inabidi 'ukubaliane' na mitazamo yao, ukiwa tofauti wewe ni mjinga,mpumbavu etc...
 
Sijaona mantiki ya huu uzi.
Mods futeni ujinga kama huu
Afadhali nawe umeona Uzi wa mdada mwenzio ni Pumba,
Ndio tabu ya kuchanganya Nyuzi za JF na Stress za Kuachwa,
Mara anaandika kushangilia, mara kuhuzunika, yaani haeleweki,
Kutendwa na Boyfriend wake kunampelekea achukie wanaume wote anaowaona,
Aliyekwambia Binadamu tuko sawa ni nani?
Huo ni msemo kwa Wachache kuwafariji walio wengi!

Sasa kwa Mfano wa Lissu ndo utajua Binadamu hatuko sawa.

Mfano wewe mtoa mada ukifariki, unadhani kuna nani atasikitika Tanzania hii!? Zaidi ya Familia yako na Ndugu zako tu.
Ukisikia ujinga ndo huu
Ha ha ha ha ha.....
 
Aliyekwambia Binadamu tuko sawa ni nani?
Huo ni msemo kwa Wachache kuwafariji walio wengi!

Sasa kwa Mfano wa Lissu ndo utajua Binadamu hatuko sawa.

Mfano wewe mtoa mada ukifariki, unadhani kuna nani atasikitika Tanzania hii!? Zaidi ya Familia yako na Ndugu zako tu.
Hii ni point ya muhimu sana kifo cha mwenyekiti wa kitongoji huwezi kukilinganisha na kifo cha diwani. Haya yote yanatokana na umuhimu wako kwenye jamii na namna unavyofahamika, hata huyo mtoa thread nikimuuliza anitajie majina matatu ya watu anaowafahamu waliouliwa kibiti hatataja, nikimaanisha kuwa alikuwa anasikia tu taarifa. Pia wabunge wa upinzani walipeleka ombi bungeni kujadili suala la kibiti ila spika akagoma. Nafikiri serikali ina intelejensia kubwa sana maana ndio iliyobeba kila kitu hapa nchini, kwa ikiamua kwa lolote lile linalotokea hapa nchini inaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifananishe impact ya hao na Tundu Lissu japo wote ni binadamu!

Mwanangu leo hajalala kisa Tundu Lissu.

Tusiandike mengi tuishie hapo.
Mkuu mtoa mada nadhani kunakitu hakiko sawa angetambua impact ya mtu kwenye jamii ndiyo inadetrtmine huzuni itayotokana na kifo chake asingepost huo upuuzi kweli wote ni binadam ila mfano mdogo na common sana kwenye jamii tunayoishi akifa Mzee huzuni yake huwezi linganisha na ile anapokufa kijana mwenye nguvu ilo halihitaji form six kulitambua
 
Mtoa mada anazungumzia KUSHANGILIA wengine wakifa. Kuhuzuniuka inategemea ukaribu wako na huyo mtu. Tena ameweka mifano kule Kibiti, kuna watu wameshangilia sana humu walivyokuwa wanauawa polisi. Sasa kwasababu polisi huyu sio 'rais' ndio tuseme watu wana haki ya kushangilia vifo vyao?!

Mfano mwingine kuna wanachama wa CUF wamekufa kwa ajali siku chache zilizopita, kuna watu humu wameshangilia vifo hivyo hii ni sawa? Unaweza kuwa kiongozi mkubwa kwenye jamii ukafa mimi wala sihuzuniki kwasababu hunihusu ila SIWEZI KUSHANGILIA MITANDAONI hata siku moja.
 
Back
Top Bottom