Hakuna aliyemsafi: je majipu waendelee?

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,072
Kwa picha ilivyo, ni suala muafaka kwa PCCB kusitisha zoezi la kuhoji viongozi wote wanaoshutumiwa kwa ubadhirifu maana ni wengi mno wa wanafanya hili suala lipoteze focus! Sababu za msingi binafsi naamini kuwa wenye dhamana wote ktk awamu tangulizi wamekuwa na walakini, kwa hiyo kusubiri magazeti yahoji ndio PCCB waende hiyo ni insult kwa intelijensia ya taifa, lkn pia inaweza kufanya wale waliotoka kwa kustaafu, kuachishwa au kuwa na vijikesi vidogo waendelee kupeta kwa kuwa hawarejei tena magazeti!
Naomba kutoa mapendekezo, uhakiki ufanywe upya kama vile makonda alivyofanya na bunduki!
Turejee kwa wakuu wote kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita na kila aliyekuwa na mamlaka ya juu ktk serikali na taasisi za umma, na vyama vya siasa na beneficiries wengine wa serikali hata ikiwa agency, waitwe, wahojiwe na PCCB, CAG, TISS na aunt fraud unit ya polisi wote kwa umoja wao wamulike kila kona, ili zoezi hili la majipu liishe! Linatuchelewesha kufanya mambo mengine na kwa speed hii ya polepole sidhani kama yanaweza kwisha in 5 years!
Lkn kwa kufanya hivyo tunaacha no stone unturned, tunaondoa bias iliyopo ya kuwa na Dau, Bashe na Kitilya peke yao, pia tutaresha hata issues za accountability kwa wanasiasa wetu!
Lowasa, Mbowe, Zitto, January, Ridhiwani etc wamekuwa walitakiwa na kulalaamikiwa mno kwa kufuja mali za umma, so na iwe muda wa kuclear na kudeclear wachafu na wasafi, na proper disposition ya wale waliowachafua na kucertify clean politicians/executives ili tufanye na mambo mengine!
Majipu yameshakuwa unbearable!
 
Back
Top Bottom