Huwa nasikiliza kipindi TBC 1 - Jitambue ... kuna mambo mazuri sana yanaongelewa na mchambuzi huyo. Kuna connection ya hali ya juu kwenye mfumo wetu wa kuishi.Kweli Mkuu..
Kuna jamaa alimuapia mwenziye utakufa vibaya sana..
Jamaa akamjibu nitakavyo kufa na wewe utakufa hivyo hivyo vibaya..
Bahati mbaya wote walikufa kifo cha kupigwa risasi kwa nyakati tofauti , na maeneo tofauti katika matukio tofauti.
Hii imeshatoboa tayarThredi kama hizi huwa hazitoboi page ya 2.
Kuna kitu ndani yake ndo kinatoa hayo maneno. Ukiyasikia kwa masikio ya kimwili utaishia kucheka; lakini ukiyasikiliza vizuri kwa undani yamebeba ujumbe mzito.Maneno ya Mzee Mugabe ni kama kichekesho, lakini yanamaana sana ukiyatafari kwa kina.
Amina amina asante sanaUmeona mdogo wangu? nafikiri hata wewe hilo unalijua vyema. Tujitahidi kutenda mema,
Hatari sanaThredi kama hizi huwa hazitoboi page ya 2.