Hapo chachaNilikuwa nazunguka katika harakati za kufukua makaburi, nimeona kumbe hakuanza leo kudharau mihimili mingine, alikuwa anajitungia kanuni bila ushauri wa wengine, alikuwa anapuuza sheria na maamuzi ya mahakama kuna sehemu amefananishwa na NDULI kuna sehemu wamesema yeye ni mtaalamu wa Kemikali anajifanya anajua masuala ya sheria zaidi ya mahakama. Ngoja nisimalizie utamu niwaache muangalie wenyewe.
Fanya Hima Uipate Hukumu Yake,Kama Hipo na Kisha Uitupie Humu!Hiyo hukumu naijua, imepotoka na imekatiwa rufaa. Jaji alizingatia sheria ya ardhi ya vijiji badala ya sheria ya ardhi. Sheria imeweka wazi kuwa kunapokuwa na mgongano wa sheria kuhusu ardhi basi sheria ya ardhi na siyo sheria ya ardhi ya vijiji ndio itafuatwa. Sheria ya ardhi imetoa haki ya kipekee kwa reserved land ambayo ndani yake kuna hifadhi ya barabara.
Kwa sasa kuna hukumu mbili za mahakama kuu zinazopingana na zote zimepelekwa mahakama ya rufaa kwa maamuzi, ngoja nifuatilie kama hukumu zimetoka.
Nawe unahangaika buree. Unadhani nchi hii kulikuwa na Bunge la kuheshimika? Je, kulikuwa na mahakama ya kuheshimika? Rais mwenye akili aheshimu mahakama na Bunge la akina Ndiyoooo na matusi ya nguoni?Nilikuwa nazunguka katika harakati za kufukua makaburi, nimeona kumbe hakuanza leo kudharau mihimili mingine, alikuwa anajitungia kanuni bila ushauri wa wengine, alikuwa anapuuza sheria na maamuzi ya mahakama kuna sehemu amefananishwa na NDULI kuna sehemu wamesema yeye ni mtaalamu wa Kemikali anajifanya anajua masuala ya sheria zaidi ya mahakama. Ngoja nisimalizie utamu niwaache muangalie wenyewe.
Hukumu ya mahakama ya rufaa bado haijatoka. Ila zile za mahakama kuu naweza zipata kwa wakili fulani siku zijazoFanya Hima Uipate Hukumu Yake,Kama Hipo na Kisha Uitupie Humu!
Hiyo hukumu naijua, imepotoka na imekatiwa rufaa. Jaji alizingatia sheria ya ardhi ya vijiji badala ya sheria ya ardhi. Sheria imeweka wazi kuwa kunapokuwa na mgongano wa sheria kuhusu ardhi basi sheria ya ardhi na siyo sheria ya ardhi ya vijiji ndio itafuatwa. Sheria ya ardhi imetoa haki ya kipekee kwa reserved land ambayo ndani yake kuna hifadhi ya barabara.
Kwa sasa kuna hukumu mbili za mahakama kuu zinazopingana na zote zimepelekwa mahakama ya rufaa kwa maamuzi, ngoja nifuatilie kama hukumu zimetoka.
Jamaa anasema serikali ni boss wa mihimili mingine kwa kuwa ndio inakusanya kodi,ndo yenye pesa,anasahau kuwa hizo pesa anazikusanya kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na bunge na inatofasiriwa na mahakama ili kumuwezesha kukusanya hizo pesa, kwamba bila collaboration hiyo asingeweza kukushanya hizo pesa,aibu yake na ccm yakeNilikuwa nazunguka katika harakati za kufukua makaburi, nimeona kumbe hakuanza leo kudharau mihimili mingine, alikuwa anajitungia kanuni bila ushauri wa wengine, alikuwa anapuuza sheria na maamuzi ya mahakama kuna sehemu amefananishwa na NDULI kuna sehemu wamesema yeye ni mtaalamu wa Kemikali anajifanya anajua masuala ya sheria zaidi ya mahakama. Ngoja nisimalizie utamu niwaache muangalie wenyewe.
Ukiangalia vizuri hiyo mihimili mitatu, utagundua kuwa mmoja umesimikwa deep zaidi ya mingine kwa sababu ndiyo unaotoa pesa, kuzitunza na kuzihifadhi. katiba nimeiweka pembeni acheni ninyooshe nchi kwanza
Nilikuwa nazunguka katika harakati za kufukua makaburi, nimeona kumbe hakuanza leo kudharau mihimili mingine, alikuwa anajitungia kanuni bila ushauri wa wengine, alikuwa anapuuza sheria na maamuzi ya mahakama kuna sehemu amefananishwa na NDULI kuna sehemu wamesema yeye ni mtaalamu wa Kemikali anajifanya anajua masuala ya sheria zaidi ya mahakama. Ngoja nisimalizie utamu niwaache muangalie wenyewe.
Jamaa anasema serikali ni boss wa mihimili mingine kwa kuwa ndio inakusanya kodi,ndo yenye pesa,anasahau kuwa hizo pesa anazikusanya kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na bunge na inatofasiriwa na mahakama ili kumuwezesha kukusanya hizo pesa, kwamba bila collaboration hiyo asingeweza kukushanya hizo pesa,aibu yake na ccm yake