Hii sio Igunga hii? Kama vile niliona hii picha wakati wa uchaguzi mdogo maana kuna kiongozi alikimbia Nyumba ya kulala wageni baada ya kufumwa na kada mwenzie. He he he!Huyu bwana inasadikika alijisalimisha kituo cha polisi baada ya kufumaniwa na mke wamtu. Unaweza kuona kama vile mtu amekula poz kumbe yamemsibu mambo.
Utafiti huyo askari wa kike kushoto kashika kidevu, lazima kunakitu kimemtisha si bure.Sijui ni nani huyu?
mke wa mtu ni sumu
Nakwambia achana na mke wa mtu, unaweza kudhani ni waswahili tu ebu check yaliyomsibu Mchina
Sijui ni nani huyu?
Ha ha ha ha ha ha haaaaaah! mkuu mi nikadhani ni wewe yamekukuta, kumbe upo salama
naona huyo dada ambaye hajavaa uniform za kiaskari,macho yake yameshuka kwenye nanihi ya jamaa.
kitu cha nchi 10 ndo kimemdatisha na akitoka hapo lazima amtafute apoze machingu ya kibamia cha mme wakeUtafiti huyo askari wa kike kushoto kashika kidevu, lazima kunakitu kimemtisha si bure.