Hakikisha hii isikupite tafadhali

Hakikisha hii isikupite tafadhali

"Kutibia watu kwa kutumia majini" huu sio utaratibu wa Uislam.

Kwani Mtume Muhammad (pbuh) alishatuonya juu ya uongo wa majini, anaweza kukwambia neno moja la ukweli halafu 99 yakawa ni ya uongo.

Mbaya zaidi ni kuwa sisi hatuwaoni ila wao wanatuona. Kuwaona kwao ni mpaka wachukue maumbile (form) ya wanadamu, mnyama kama vile paka mweusi, mbwa mweusi,nyoka, ng'e n.k

Pia majini haswa mashetani wa kijini hawakufanyii kazi bure pasi na kuingia nao mkataba wa kulipana, na malipo yao mengi ni ya kumkufuru Mungu, mfano atataka unapochinja usimtaje Mungu ila uchinje kwa jina la huyo jini, akushurutishe kuvaa vito flani,uvae nguo flani, kukuwekea miiko ya kula vyakul flani, au ufanye rituals kama kuwachomea udi na ubani...na kadiri wanavyokufanyia kazi ndivyo masharti yanavyozidi kuongezeka mpk kupelekea kuua au kumwaga damu za familia yako.
 
Ni kweli majini wapo wengi sana kuliko sisi binadamu, na malaika ni wengi sana kuliko hao majini.

Majini wapo wachamungu na wapo pia waasi (ambao huitwa Mashetani wa kijini) . Hawa waasi kiongozi wao ni Iblis.
 
Huyo shekhe kamuokota graduate wa bachelor ya mass communication kutoka pale chuo pendwa SAUTI 🤣
 
Upo mkuu, nilikuchokoza nilijua utajaa upepo. Umeadimika sana jamvini🤣
Kuadimika Kwangu sababu ni Aliyekuzaa kwa kunifanya niwe busy. Nachukia mno Unafiki na Sanifu na huwa sina Simile kwa Wapumbavu wa mfano wako. Unaniuliza nimeadimika sana Jamvini nilikuambia kuwa nitakuwa hapa JamiiForums 24/7? Kama ulinichokoza ili nijae Upepo natumai tayari Upepo wangu ulioujaza Umeuona na utakufanya uwe na Adabu nami na Tuheshimiane hapa Jamvini.
 
Mzee baba yameisha nimekusoma kiume na kikubwa.
 
Back
Top Bottom