Hakika Watumishi tumedhalilishwa

Kuna msemo aliousema Mhe. Rais wa Awamu ya Nne. Cha kuambiwa tumia na akili zako. Mhe. Rais anapokea ushauri kutoka kwa Wateule wake lakini mwisho wa siku atumie uamuzi wake. The Hon. President should be firm on her principles.
 
Mbunge wangu mishipa ya shingo ilimtoka kushangilia huu upuuzi,
Kwa hizi hasira angekuwa karibu ningemtwanga makofi, kumbafu kabisa
 
hakuna mtumishi aliye punjwa
uelewa mdogo wa somo la hisabati ndiyo tatizo pale
kima cha chini wamefaidika
na ndiyo walengwa wa hilo.
kabla hujalalamika ungeisoma kwanza barua yako ya ajira ili ujue unapaswa kuongezewa shiling ngapi kwa mwaka.
Alisema ataongeza mishahara sio kwa kima Cha chini tu.... Watumishi wote... Akataja kiwango kwa kima Cha chini kuwa 23.3% wengine wangepata chini kulingana na madaraja Yao.. hivyo kama ilivyokuwa nyongeza nyingine wengine wangepata 23.2%,23.1%,23%,22.9%,22.8%,22.7%......... Hadi 5%,4.9%..... katika kumbukumbu zangu haijawahi kutokea ongezeko chini ya 6% katika historia niikumbukayo katika utumishi wa umma..... Ni haya maajabu ya mwaka huu !!!!!
 
Barua yako ya ajira ilisema utaongezewa ngapi kwa mwaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…