musa patrick
Member
- Jun 12, 2016
- 13
- 6
Kwanini nasema hivyo wana jamvi Mimi binafsi nimejaribu kuangalia nchi za ukanda wetu huu wa Afrika sijaona Kiongozi mchapakazi kama mzee MAGU Raisi wetu ukibisha utakuwa ujitambui na hakika unatakiwa kuombewa kwa kutojitambua na kuona neema hii tulioletewa na mwenyezi mungu Hakika Tumtunze kwa kumpa sapoti kwani bado hana mazuri yakulitendea haki Taifa letu .