Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.

Leo siku ya wanaume nini mbona sifa nyingi tujuzane.
 
I value all men in my life...
Waliopita, waliopo na watakaokuja!
Hawa viumbe ukiwapatia ni raha sana kua nao karibu.
Mkuu nadhani wew ndio mwanamke wa Kwanza kusifia uwepo wa wanaume, duh kumbe ugonjwa wa kucheka cheka kwa wanawake tiba yake ni wanaume!!!
 
Pia hakuna tasa .....ka
 
Ongeza tena na hii, Mwanaume mzee wa miaka 70 anaweza kuoa binti mbichi wa miaka 22, lakini bibi kizee kikongwe wa miaka 60, hawezi kuolewa na kijana mdogo, mbichi wa miaka 25. Labda iwapo sababu ya kishirikina!
 
I value all men in my life...
Waliopita, waliopo na watakaokuja!
Hawa viumbe ukiwapatia ni raha sana kua nao karibu.
Bibie nimejikuta tu naupenda sana Huu ujumbe wako na kuvutiwa na wewe kiurafiki tu, Addition ladies hawajui ila tu kama unataka kuarchieve something kaa na Men Fair tu Na ukajiheshimu that's all
 
Hata na ninyi wanawake pia mmebarikiwa pia

1.Kuvumilia mimba miezi 9 na mtoto anazaliwa salama

2.Kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja.

3. Kuwa walezi bora wa familia

4. Kutuvumilia wanaume pamoja na visa vyote tunavyowafanyia

5. Kuvumilia njaa kwa muda mrefu na njaa kuzidi sisi

6. Mwanamke mmoja kugonganisha wanaume zaidi ya wawili

7. Kuwa na roho ya huruma, unyenyekevu, upole na utaratibu...

8.Kuwa na uwezo wa kubadili tabia ya mwanaume kwa namna moja au nyingine hata aliyekubuhu kiasi gani..


Wanawake wote...Heshima kwenu!!
[HASHTAG]#MalkiaWaNguvu[/HASHTAG]
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…