Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.

[emoji3] [emoji3] kwenye kuugua hapo umelenga,nna mwaka wa 4 cjui homa yoyote mimi
 
Tunawathamini wanawake tunaokutana nao ikiwa hata hatuwajui. Mf, kumsaidia mwanamke mzigo, kumuachia kiti kwenye dala dala mjamzito ingawa alifanya kule kwa raha zake, hatunaga muda wa kuuliza
Alafu kweli!!! Unakuta mmama kaingia kwenye daladala kabeba katoto kachanga, wanawake wote tunauchuna tena tunaongeza spidi ya kuchati tusionekane kama tumemuona.... Anatokea mkaka ndo anampisha siti! Duuh!!! Wanawake sisi!
 

Tena siku 2 kwa mtu aliye busy! Otherwise mkuonana tu mkasalimiana tayari mshazieanaa
 
note breastcancer ipo hadi kwa wanaume but kwa asilimia ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…