Hakika wahenga walisema mama wa kambo si mama

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Hivi mama gani mwenye akili na uchungu wa Mali za familia anaweza akazigawa Mali za familia yake kwa majirani halafu awaambie watoto wake wasubiri mali hizo zikisha wanufaisha majirani na wao watapata faida?

Mama wa namna hiyo hana uchungu na Mali za familia na ni mama mwenye chuki na choyo binafsi. Kwa kweli kufiwa na mzazi wako ni pengo kubwa sana. Nguo ya kuazima haisitiri matako na mama wa kambo si mama.
Maendeleo hayana vyamaa.
 
Anauza nchi yetu kweupe
 
Na matanganyika yalivyo mazuzu yanakenua meno tuu wajomba wanazidi kula mema ya nchi.
 
Hawachelewi kutufanya military base maana wamepewa eneo la bahari na maziwa yote. Umempa mtu eneo utamzuia kufanya shuguli zake bhanaa......ruksa kuweka nyambizi zake, sijui manowari.
 
Nilishawaonya wengi mapema, huyo ni mama wa kambo, hawakutaka kusikia, leo wamepelekwa utumwani ndio akili zimewarudia.
Ngoja tuone wazee wa kazi watazingatia kulinda mipaka au wataiachia kwa mwarabu atandaze manowari zake.
 
Mama mwenyewe si kama golikeeper tu , hakuwahi hata siku moja kutafuta kura
 
Bila shaka yoyote unam - refer Rais Samia Suluhu Hassan..

Tumrudishe mama yetu halisi mzaliwa wa Tanganyika na awe Mtanganyika halisi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…