Siongelei wa Marekani weusi naongelea wazungu waliokimbia kwasababu hasa za kidini enzi wanaopinga dini na utawala wa kifalme wanauawa na kuteswa tena kwa adhabu kali sanaSio Kweli Mkuu, Marekani imetokana na Sababu nyingi, hiyo unayosema imechangia kidogo.Sababu yenyewe hasa imechangiwa na Biashara ya Pembe tatu, alimaarufu km Triangular trade. Ndio maana kuna Wamarekani Weusi hao ni Ndugu zetu waliochukuliwa kutoka Africa km Watumwa, lkn kamwe hawakuchukua Wazungu wenzao kuwa Watumwa ktk Mashamba yao, Migodi yao, n. K.
Ni Nani huyo Mkuu ??, Maana wapo Wengi pale, mtaje jina tumpe makavu.Mtu mweusi mwingine mwenye roho mbaya sana yupo magogoni.
Imeandikwa Wapendeni Maadui zenu ,watendeeni mema wale wanaowaudhi.Waafrica na watanzania ni wanafki sana. Kama usipo kuwa nao makini utadondokea pua.
Weka Ushahidi wa nchi ya Wazungu ambako walitesana wao kwa wao hata kupelekea hao Watumwa waliomuua kwenda kuishi USA.Siongelei wa Marekani weusi naongelea wazungu waliokimbia kwasababu hasa za kidini enzi wanaopinga dini na utawala wa kifalme wanauawa na kuteswa tena kwa adhabu kali sana
Kwani Libya ipo Bara gani ??.Babu yako ndio alikwambia kuwa Walibya ni Waafrika wenzetu...!?
Usiishi kwa kukariri Rafiki yangu..
Hapa hapa Bongo unaburuzwa na jamii ya watu kutoka Asia, je huoni kuwa huu ni Ubaguzi pia..!
Sasa huo si, ulikuwa ni wivu wa Mapenzi !!, Hoja ya msingi hapa ni Kwanini hatuthaminiani, Yaani unamkuta Muafrika mwenzako hana kosa lolote, unaanza kumpa Mkong'oto na mateso makali hadi kupelekea mauti. Hiyo ndo hoja yangu.mi niliona wazungu kwa macho yangu wakitesana kuhusu mapenzi tena mwaka huuu
Nitakuwekea vitu ukagoogle usome mwenyewe jinsi wazungu walivyouana.Weka Ushahidi wa nchi ya Wazungu ambako walitesana wao kwa wao hata kupelekea hao Watumwa waliomuua kwenda kuishi USA.
hiyo ilikuwa kipindi cha utumwa Enzi hizooo tuna zungu mzia sasaNitakuwekea vitu ukagoogle usome mwenyewe jinsi wazungu walivyouana.
Massacre of Verden
St. Brice's Day massacre
Indian massacre of 1622
Kisha maliza kwa kutembelea hapa
America as a Religious Refuge: The Seventeenth Century, Part 1 - Religion and the Founding of the American Republic | Exhibitions (Library of Congress)
Sasa huskii huko America ntu anachukua bunduki anaanza shoot wenzake bila sababu ya msingi?hiyo ilikuwa kipindi cha utumwa Enzi hizooo tuna zungu mzia sasa
Pombe imepitia kwenye pengo.Ni Nani huyo Mkuu ??, Maana wapo Wengi pale, mtaje jina tumpe makavu.
Mungu alimuagiza Mtume/Nabii gani kuigawanya hii Dunia na kuiweka katika mfumo wa Mabara...!?Kwani Libya ipo Bara gani ??.
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] mbavu Zangu.Pombe imepitia kwenye pengo.
Na wewe mbona unatumia Mtandao huu wa kijamii, nani alikuruhusu, nipe andiko.Mungu alimuagiza Mtume/Nabii gani kuigawanya hii Dunia na kuiweka katika mfumo wa Mabara...!?
Nipe andiko kutoka katika Biblia ama Msahafu (Quran)