Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,516
Ninawapenda sana tu.Je, wewe mwenyewe unawapenda na kuwatendea mema jirani zako wote (watanzania wenzako)?
Km huna Ushahidi, sasa tutaaminije ???. Nenda katafute Ushahidi ndipo urudi hapa.Mi nishaona wazungu wakitesana ila ushahidi sina!
Kuna jamaa aliirusha fb.Hiyo video ya libya ipo sehemu gani tuitizame mkuu?
Ujinga wako wewe mtoa Post ni UPI?Kweli sisi Waafrika ni Wajinga Kweli Kweli, nasisitiza sisi ni Wajinga, Au Unabisha ???!!!, Hivi Juzi nimeona Video Moja jinsi Watu wa Libya wanavyowatesa Waafrika wenzao mateso ya Kinyama Yaani nilishindwa kumalizia kuangalia Video ile maana inatisha. Tukiacha Libya ambako ni mbali kidogo kutoka hapa kwetu Bongo, Hebu nenda Msumbiji uone jinsi Watanzania wenzetu wanavyodhurumiwa Kikatili, Wanasahau kuwa Sisi Watanzania tuliwasaidia Kutafuta Uhuru kutoka kwa Mreno, R.I.P Baba wa Taifa, Lkn leo hii hao Washenzi wanatufanyia hivyo sisi ndugu zao ???!!!!. Kweli Afrika jinga sana. Umeshawahi sikia Wazungu wakifanyiana Unyama wao kwa wao ??, Km umeshawahi ona hivyo leta Ushahidi wako hapa. Jamani Waafrika Tupendane sisi ni Wamoja.Nimemkumbuka Bob Marley na Wimbo wake wa Africa Unite.
Ujinga hapo ni sisi Waafrika kuwatesa na Kuwaua Waafrika wenzetu.Kuwaona Waafrika wenzetu ni Maadui. Kwangu mimi huo ni ujinga.Ujinga wako wewe mtoa Post ni UPI?
Kwanini unajumuisha wote wakati waliofanya uovu huo sio wote? Ndio maana nikakuuliza wewe binafsi ujinga wako ambao hujaweza kunijibu that means wewe sio mjinga bali hao wasio na huruma na wenzao. Nimekuelewa kiongozi In general kuna watu hawana huruma na wenzaoUjinga hapo ni sisi Waafrika kuwatesa na Kuwaua Waafrika wenzetu.Kuwaona Waafrika wenzetu ni Maadui. Kwangu mimi huo ni ujinga.
Asante kwa kunielewa.Kwanini unajumuisha wote wakati waliofanya uovu huo sio wote? Ndio maana nikakuuliza wewe binafsi ujinga wako ambao hujaweza kunijibu that means wewe sio mjinga bali hao wasio na huruma na wenzao. Nimekuelewa kiongozi In general kuna watu hawana huruma na wenzao
Asante kwa kunielewa.Kwanini unajumuisha wote wakati waliofanya uovu huo sio wote? Ndio maana nikakuuliza wewe binafsi ujinga wako ambao hujaweza kunijibu that means wewe sio mjinga bali hao wasio na huruma na wenzao. Nimekuelewa kiongozi In general kuna watu hawana huruma na wenzao
Wametesana hao wazungu mpaka wakapigana na vita za dunia.Asante kwa kunielewa.
Mkuu Ninavyojua mimi, Vita ya Dunia yaani ya Kwanza na ya Pili, Ilichangiwa na Kutofautiana kwa Itikadi kati ya Upande wa Magharibi Mwa Dunia na Ule Upande wa Mashariki, Hivyo hata km wote ni weupe lkn walikuwa tofauti, Hata Mabara yao ni tofauti. Mimi hoja yangu ni juu ya watu wa Bara Moja kufanyiana Unyama. Ulishawahi sikia Watu wa Bara la Ulaya, wanatesana wao kwa wao ??.Wametesana hao wazungu mpaka wakapigana na vita za dunia.
USA ni taifa lililojengwa na wakimbizi wa mateso kutoka mataifa mbalimbali hasa ulaya
Umeona eennhh !!!, Hii ngozi nyeusi ni Shida.Miili kwenye viroba, kuna tatizo kwenye bongo za kiafrika.
Yes sana nimekupa mfano marekani imetengenezwa na watu waliokuwa wanakimbia manyanyaso kutoka ulaya huko uingereza, italy, na nchi nyingineMkuu Ninavyojua mimi, Vita ya Dunia yaani ya Kwanza na ya Pili, Ilichangiwa na Kutofautiana kwa Itikadi kati ya Upande wa Magharibi Mwa Dunia na Ule Upande wa Mashariki, Hivyo hata km wote ni weupe lkn walikuwa tofauti, Hata Mabara yao ni tofauti. Mimi hoja yangu ni juu ya watu wa Bara Moja kufanyiana Unyama. Ulishawahi sikia Watu wa Bara la Ulaya, wanatesana wao kwa wao ??.
Sio Kweli Mkuu, Marekani imetokana na Sababu nyingi, hiyo unayosema imechangia kidogo.Sababu yenyewe hasa imechangiwa na Biashara ya Pembe tatu, alimaarufu km Triangular trade. Ndio maana kuna Wamarekani Weusi hao ni Ndugu zetu waliochukuliwa kutoka Africa km Watumwa, lkn kamwe hawakuchukua Wazungu wenzao kuwa Watumwa ktk Mashamba yao, Migodi yao, n. K.Yes sana nimekupa mfano marekani imetengenezwa na watu waliokuwa wanakimbia manyanyaso kutoka ulaya huko uingereza, italy, na nchi nyingine