Naunga mkono hoja, kuna viongozi it's easy to talk to, they are very much reachable,
Rais Uhuru Kenyatta amewaasa watanzania wachague Kiongozi atakayeweza kuendeleza kazi iliyofanywa na Serikali inayomaliza muda wake, kiongozi huyo aweze kuendeleza muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Pia amesema Serikali inayomaliza muda wake imefanya kazi nzuri, imeleta maendeleo hasa...
www.jamiiforums.com
lakini kuna viongozi, they are unreachable unresolvable!
The excuse is security concerns!
Security concerns my foot!.
Tena viongozi wetu ni wa ajabu kweli, tukitoka nao nje ya nchi, they are so reachable!, lakini Bongo, hata kumkaribia tuu, unaonekana kama suicide bomber!.
P.