kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,368
Uchawi upo ndugu zangu, kuna tukio ambalo limenitokea mpaka bado najiuliza maswali kama nilikuwa naota au ni kweli!
Kuna ndugu yangu fulani uko Afrika alifariki kwa ajali ya kugongwa na gari lakini jana usiku niko zangu home tu nikaona nimepigiwa simu. Nikacheki hivi nikaona namba ya yule ndugu yangu marehemu ndio umenipigia.
Mimi nikafikiri ni mdogo wake au mke wake ndio amenipigia labda wamebaki na simu yake,
nikapokea simu. Cha ajabu nikasikia sauti ya yule jamaa mwenyewe (marehemu) ananiambia ndugu yangu mbona umetusahau huku hatuna chochote cha kulisha watoto?Nilikata simu mwili ukaingia baridi!
Niliongea na mdogo wake akaniambia kuwa hakuna aliye baki na simu yake, anavyojua yeye ni kuwa simu ya marehemu ilivunjika siku ambayo alipata ajali!
najiuliza sipati majibu!