Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 8,844
- 27,551
Chuki,wivu na kutokubali kushindwa kunaelekea kuliangamiza taifa hili kimuziki.Sasa kazi mbovu kabisa zinapewa promo kiasi cha kuharibu jina na muziki wa Tanzania.
Hivi sasa tumefikia hatua ya kuendekeza ushindani usiokuwa na tija katika muziki wetu wa Tanzania.Wenzetu wanafanya ushindani wa kuleta sifa na ubora wa muziki wao.
Sio timu za kushawishiana kusapoti kitu cha kawaida kabisa kukifanya kionekana bora.Ushahidi upo wa makundi ya whatsapp,facebook kuhusu jambo hili.
Tunayafanya haya na kusahau wasanii wengine wazuri kabisa ambao wangepewa sapoti hii tungefik mbali sana kimuziki.
Mfano kuna nyimbo nzuri sana zimetoka kwa sasa lakini watu hawazioni wanaendekeza TEAM UCHWARA.Inakera san asee.Hizi ni baadhi ya nyimbo hizi
1.Maua samma-Katukatu
2.Vanessa Mdee-Kisela
3.Fid Q-Ulimi mbili
4.Fid Q-Fresh
5.Rama D-Kwa akili yangu
6.Jux utaniua
7.Aslay-Mr Pusha
8.Bright-Ni wewe(tena huyu anapigwa sana radioni)
9.Christian Bella-Niende wapi ft joh makini
10.Aslay-Niwe nawe ft maromboso
11.Timbulo-Sina hali
Ziko nyingi wadau mnaweza ongezea kwenye koments.Hawa wote wana kazi bora zaidi hata ya hizo mnazopigia kelele mitandaoni kugeuza nyeusi iwe nyeupe....
Tukumbuke kuwa SOTE NI NDUGU na muziki ni wetu na burudani yetu sote.
Sent using Jamii Forums mobile app