Ndururu/Porosooo/Cash/Mabraga/Mchone/Mawe/Majani
. Ipo katika Miji yote,huwafanya watu ni wenye kupendwa na kuonekana wazuri. Na pesa ni ulimi kwa Yule anayetaka ufasaha,Pesa ndio silaha kwa mtu anayetaka Mapambano. Njaa kali/Lofa anapozungumza ukweli watu wanasema ameongopa na hubatilisha yale anayozungumza. Anapoongea mwenye pesa Uongo watu wanasema kweli,Na mwenye pesa kuongea uongo ni jambo ambalo haliwezekani.Boss sikukuu hii umeifanya kuwa mbaya sana kwangu.