Hakika nitakapooa, nitaoa mwalimu

Hakika nitakapooa, nitaoa mwalimu

Mh! Labda ukaoe mwalimu wa zamani wa leo hawana hizo sifa.
 
Hawa watu wana kipaji cha ziada kutofautisha na wanawake wa kada zingine ,nadhani kitendo cha kuwa na watoto wa shule muda wote kuna mpa nafasi kubwa sana ya kupanua mawazo yake na pia kujifunza kwa hao watoto anao wafundisha ,hiyo inapelekea hata yeye kuikuza familia yake katika njia inayofaa , pia ni wavumilivu usifikirie ni mchezo kumfundisha mtoto akajua mathalani tu hesabu za kujumlisha,kutoa,kugawanya ,kutokana na huo uvumilivu ni raisi sana wao kukabiliana na changamoto za maisha au ndoa kwa ujumla wake ,
Mara nyingi watoto walio lelewa kwenye familia zenye walimu ni wenye heshima na maadili mema
Hongereni walimu wetu
 
Tuulize sisi tunaosoma na hawa mabinti(waalimu tarajali)
1.wengi wao wana poor financial background hivyo ni rahisi kulaghaiwa hasa akikutana na mwanaume materialist.
2.hawako updated na fashion kama mavazi,na kutengeneza mionekano Yao hivyo wanakuwa mizigo kutoka nao
3.ukiwa na kazi ya kukukeep busy utamegewa sana sana sababu wapo free
4.jiandae kujenga ukweni ulimuona
5.jiandae kuwa na extended type of family
Hiyo no 2. Umenigusa niliwahi kuwa na demu mwalimu yaani hajui kuvaa vizuri hata akiingia dukani akichagua nguo ni vituko!
 
Teh teh teh teeeh!! Hivi wewe wanawake hawanaga jema kwako?? Itabidi tumtafute huyo alokuumiza aje akuombe msamaha.
wapo walio na jema tena wengi tu. Nafikiri unataka uone nikiwa nasifia mwanamke ambaye hana sifa ya kusifika. Kumbuka nmekwambia sio waalimu wote.

Sijawahi kuumizwa na mwanamke na mpaka hapa nilipofikia nakiri sitokujakuumizwa na mwanamke.
 
wapo walio na jema tena wengi tu. Nafikiri unataka uone nikiwa nasifia mwanamke ambaye hana sifa ya kusifika. Kumbuka nmekwambia sio waalimu wote.

Sijawahi kuumizwa na mwanamke na mpaka hapa nilipofikia nakiri sitokujakuumizwa na mwanamke.
Teh teh teh teeeeh!! And the story goes on... and on..... and on...
 
Kwann mkuu nataka kuoa Nurse,,nahis afya ya My family itakuwa na uangaliz
kuoa nurse pia ni vizuri ila uzingatie aina ya kazi yako. isije ikawa wewe ni mlinzi - mchana uko lindoni, waifu nyumbani, usiku uko nyumbani waifu shift ya usiku. Utachanganyikiwa bure.
 
Back
Top Bottom